Punyeto: Kila unachopaswa kujua

Napiga Nyeto mara 4 kwa siku kila siku
Mafuta ni BabyCare, napiga mda wowote ule bila kupangiwa wala kususiwa wala kubaniwa miguu
UTI, Gono, Kaswende na Ngwengwe zenu bakini nazo wenyewe
Unapotosha watu ubwa wew
Mara 4?
 
@dronedrake ata support hili
 
Punyeto sijui nilianzaje nilienda kwenyw kigodor nipo form 1 nkacheza na mdada alikua uchi kabisa yan n half sex nikanogewa ndio njozi zikanianza na safari yangu ikaanzia hapo mbaka HIV sasa nmemaliza form 4bado, naacha hadi wik3 lakini nashindwa sababu nna VPN ambayo inasapot porn content ila toka nmeanza kutumia nmeona faida n nying kuliko hasara ila sijasema kua hakuna hasara
 
Punyeto haijawahi kuwa na madhara pale unapofanya. Ila siku utayoamua kuiacha, ndio utaona madhara yake.
 
Njia sahihi ya kuacha punyeto ni kuoa. Ukiwa na mwanamke ni rahisi kuacha. Binafsi sisapoti kabisa kununua malaya. Kwenye ngono mambo ni mengi na wengi wetu tukilala na mwanamke mara kadhaa kuna siku unateleza huvai kinga na ndo siku unaukwaa. Majuto ya kuukwaa hayafananishwi na majuto yoyote yale. Kijana anayeweza kuoa aoe. Na kwa wale wanaoweza kuwa na "mpenzi mwaminifu" sio mbaya pia. Ambaye hayuko tayari kuoa kwa sasa apige angalau bao moja tu kwa siku na kuhakikisha anapiga msosi wa maana. Pia asipige kila siku.. Punyeto ya kiasi ni bora kuliko kuparamia malaya. Ndugu dronedrake tunza hela za kuja kutibiwa hicho unachokitafuta.
 
Vipi ukiukwaa ndoani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…