Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

Nipo kwenye mapamabano makali na nyeto na rafiki/mshirika wake wa karibu porn.

Soon nawaacha hawa ndgu wawili, watamaind na kunishawishi sana nirudi kua rafiki yao tena ila ndo hivyo nishasema hapana na kadi nimerudisha leo rasmi.
 
Miez miwil na zaid sas sjapiga nyeto na nmedhamilia kuacha, mm sijaona madhara yyte na nmefanya sex mara kadhaa bila kupata shda yyte na sjaona shda ktk maumbile yangu ila madhara ninayoskia kwa watu ndo yamenifanya nichukue maamuz ya kuacha nyeto,, nlianza kupiga January mwaka huu
 
Hongera kwa hatua hiyo mkuu
Tafadhali ‘share’ nasi mbinu ulizotumia kuacha
 
Ahsante kwa kuongezea nukta mkuu, walau nimejua unaposimamia.
 
Ni dhambi kama dhambi nyingine sema kichwa ngumu tu
Mkuu dhambi haiwi kwa sisi wanaadamu kudhani, dhambi huainishwa kwenye maandiko matakatifu.

Tupe nukuu ya ilipoandikwa ni dhambi tuwe na mjadala wenye kujenga.
 
Waache uvivu wakasome Biblia:
Biblia inasema wafiraji na wazinzi hawatauona ufalme wa mbinguni....
Mkuu una uhakika uasherati unajumuisha upigajinpunyeto wu ni tafairi yako ya namna ulivyoelewa andiko?

Kwa maelezo jadidi ya biblia kama ingelenga kukataza Punyeto ingesema moja kwa moja maana imeweza sema kuhusu wafiraji nini Punyeto Mkuu?
2. Waabudu sanamu - Hawa ndio wale watumiao sex toys na kusema oh my god.
3. Wazinzi - Hawa wanandoa wanaofanya nyeto, mapenzi nje ya ndoa, orgy, threesome.
 
Nipo kwenye mapamabano makali na nyeto na rafiki/mshirika wake wa karibu porn.

Soon nawaacha hawa ndgu wawili, watamaind na kunishawishi sana nirudi kua rafiki yao tena ila ndo hivyo nishasema hapana na kadi nimerudisha leo rasmi.
Uamuz mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…