Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 493
- 1,135
- Thread starter
-
- #101
Kuoa hakuwezi kukaua tatizo la punyeto,Kama kuna ka ukweli nakaona humu 🫡
Sema hizo njia ulizoweka za kumtoa huyo pepo naona kama bado hazijajitosheleza.
Ila mimi naamini njia pekee yenye ufanisi kwa asilimia zaidi ya 90 ya kuacha punyeto ni KUOA kwa mwanaume na KUOLEWA kwa mwanamke, hizo zingine ni za kujazia nyama tu.
Ukiona umeoa au kuolewa na bado unapiga nyeto, basi wewe addiction yako ni kupelekwa Soba kabisa
Sasa ukipata hamu si unamkunja mkeo sasa tatizo litaendeleaje ?Kuoa hakuwezi kukaua tatizo la punyeto,
Coz una-deal na roho ya tamaa
Utaoa na tatizo litabaki pale pale
Inabidi uoe , ndipo utajua haujuiSasa ukipata hamu si unamkunja mkeo sasa tatizo litaendeleaje ?
Mimi huwa napiga nyeto nikiona sina possibility ya kupata dem kwa muda huo ambao nna upwiru.
Ila nikipataga dem ambaye muda wowote nikimhitaji anapatikana, mbona nyeto naanzaga tu kuisikia.
Mi nikafiri ni medical explanations, kumbu ujuha mtupu!Ujinga mtupu.
[emoji1787][emoji1787]Mkuu Wapiga Nyeto wa Kutukuka ( Nikiwawakilisha ) tunahitaji Ufafanuzi wa Kina hasa unaposema Nyeto tupige, ila Mbegu zisitue chini. Kwahiyo tuzidake zikiwa zinakaribia kutoka Mboloni Kwetu au tuziwekee Bakuli kwa Chini ili Jini asizidake?
Wanataka mpate ukimwi kama wao[emoji1787]Nyeto inapigwa vita sana aisee!
Kweli uliacha lini?🤣🤣🤣Mi niliacha 🤸🤸
Msanii Gani huyo kk😂Juzi kuna mdau hapa alileta uzi unaohusu mcheza filamu za ngono akisaini kandarasi ambayo kwa mwaka analipwa mabilioni ya pesa.
Halafu kama haitoshi kuna sehemu iliyokuja kunistua ni kwenye kipengele cha bima ya mkataba. Hicho sitaki nikizungumzie
Ila kilichonipa maswali zaidi ni kwanini makampuni hayo yanatoa pesa nyingi hizo kulipa wacheza filamu za aina hiyo ilihali huku mtaani kila mmoja anakataa kuwa haangalii hizo video?
Sasa kama kila mmoja wetu anasema hapendi video hizo, je hizo video zinatazamwa na watu gani? Au wao wenyewe waliorekodi?
Ukiingia kwenye mitandao yao utaona idadi ya views zinagonga hadi bilion 7. Lakini ukimuuliza mtu anakujibu kuwa haangalii.
Kuna msanii miaka ya hivi karibuni aliwahi kumtolea wimbo Mia Khalifa, huyu naye kwenye interview akiulizwa anaweza akapinga kuwa haangalii zile video.