Punyeto ni mlango wa Roho chafu

Punyeto ni mlango wa Roho chafu

Issue punyeto anayo ifanya nyuma yake hadi anaifanya kuna ushawishi wa nini ? ( ni kiu kama kiu ), under control ya spirit etc.. ndio ita amua nini kikukute.. Punyeto inakua kuwa issue unapo provoke spirit ila kama unaweza piga nyeto bila ku provoke spirit haina msara
Hakuna cha under control ya jini buana ni nyege tu zinakuja kwa kasi ya kimbunga halafu muda huo labda chululuu/ mbochi ipo mbali
 
Hakuna cha under control ya jini buana ni nyege tu zinakuja kwa kasi ya kimbunga halafu muda huo labda chululuu/ mbochi ipo mbali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waafrika sisi kwa kutishana badala ya kupeana facts, Watu wanajiepusha na mengi sana yanayotokana na ngono zembe kwa kupiga punyeto.

Lakini kama ilivyo ada kitu chochote hakitakiwi kuwa too much. Hata kula sana si vizuri.
 
Hapo kwenye namna ya kupona napingana na wewe kwenye baadhi ya mambo.

1. Katika ulimwengu wa leo mawazo ya ngono huwezi kuyakwepa asilani. Labda uamue usimiliki simu ya smart (usipate internet connection, usiingie kwenye social media etc.). pia ujifungie huko mashambani usionane na hawa wanatutega mabarabarani, mijini na maofisini hata kwenye nyumba za ibada wamejaa wengi wanatingisha matako tuu.

2. Unaposema akina TB Joshua na wengine wana uwezo wa kutoa hizo roho hapo unatulisha matango pori. Mwenye uwezo ni Mungu pekee na wewe unachotakiwa ni kumuomba Mungu akuepusha na majaribu. Hiyo ni kazi ya Roho mMtakatifu. Vinginevyo wewe utakuwa mfuasi wa Mwamposya na wapiga dili wengine kama hao.
Mkuu SIPIYU30 una akili kubwa sanaa mzee wangu, naomba nikusifie kwa comment hii.
 
Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako.

Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama ushaanza kujihisi weak Basi hii roho imeshakuvaa.

Kuanza ku-act ulelegelege ni moja kati ya viashirio kuwa hii roho ipo ndani yako.

Kazi za Leviathan, akishakuingia ndani yako:
- Chuki: Unajikuta ni mtu wa kuchukia watu bila sababu ya msingi .
Yawezekana chuki usioneshe katika uso, ila ndani ukawa na msukumo mkubwa wa kumchukia mtu ambaye humjui au umepishana nae.

- Kukosa hamu ya kuishi: Unakuwa ni ambaye hauoni uzuri wa maisha - Hii ndiyo sababu kubwa inayofanya wapiga punyeto wengi kujiua.

- Msongo Wa Mawazo: Huyu roho ni moja ya pepo wasumbufu sana anapoingia kichwani. Hapa huuanza kutengeneza mtazamo hasi kichwani , Pia huanza kutengeneza majadiliano yasiyo na msingi pamoja na roho.
Kwa hiyo yeye anakupa mawazo hasi, Na roho yako inajaribu kupinga. Hapa ndipo msuguano unapotokea. Hapa ndipo unapoona mtu aliyekuwa na confidence anaanza kuwa jitu la aibu - kutokana na mawazo hasi anayojazwa na Leviathan.
Hapa ndipo unapoona boy ambaye alikuwa anaongea vizuri na watoto wakike - anaanza kuonesha tabia wild.

- Hofu : kutokana na kujazwa mawazo hasi , hapa ndipo mtu anaanza kuona vitu tofauti. Matango aliyoyaona ni matunda , anayaona ni sex organs ambazo angetakiwa awenazo. Anajaribu kupambana but anshindwa - hapa ndipo mtu huanza kuwa ana hofu

- Kuona mambo tofauti : Akili huanza kutafsiri mambo tofauti na ilivyo kawaida . Wengine wanaona ni mwanamke - we unaona ni mke wako

Jinsi ya kupona
Jifungie ndani kwa siku 7 ili ufanye mambo hayo hapo chini

- Funga siku 7: Funga yako iwe ya kikristo, unaweza uka-Google au YouTube jinsi ya kufunga properly.

-Soma biblia ndani ya wiki hiyo yote (Agano Jipya)

-Fatilia maombi na mafundisho ya biblia kupitia videos za YouTube (eg : Edu Udechukwu, TB Joshua, Brother Hyeok) - hawa wanauwezo wa kuitoa roho

-Usiruhu mawazo ya ngono yaingie katika Akili yako

Ukishamaliza wiki 1 utaanza kuona utofauti.

Usije kurudi tena kwenye huu uchafu, kwa sababu utakaporudi tambua huyu pepo anatarudi na wengine ambao watakua wild zaidi yake.
Acha porojo , hakuna mlango wala dirisha
 
I think cha muhimu ni kutoruhusu mawazo ya master kubeti yakunyemelee kwa kufanya kazi ili uji keep busy
 
Back
Top Bottom