Punyeto ni mlango wa Roho chafu

Punyeto ni mlango wa Roho chafu

Ujinga mtupu.
Acha upimbi we dogo wengine tunapona kutokana na fundisho la jamaa hapo juu
JamiiForums578188479.jpg
 
Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako.

Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kw wapiga punyeto kama ushaanza kujihisi weak Basi hii roho imeshakuvaa.

Kuanza ku-act ulelegelege ni moja kati ya viashirio kuwa hii roho ipo ndani yako.

Kazi za Leviathan, akishakuingia ndani yako
-Chuki: Unajikuta ni mtu wa kuchukia watu bila sababu ya msingi .

Yawezekana chuki usioneshe katika uso, ila ndani ukawa na msukumo mkubwa wa kumchukia mtu ambaye humjui au umepishana nae.

- Kukosa hamu ya kuishi: Unakuwa ni ambaye hauoni uzuri wa maisha - Hii ndiyo sababu kubwa inayofanya wapiga punyeto wengi kujiua.

- Msongo Wa Mawazo: Huyu roho ni moja ya pepo wasumbufu sana anapoingia kichwani. Hapa huuanza kutengeneza mtazamo hasi kichwani , Pia huanza kutengeneza majadiliano yasiyo na msingi pamoja na roho.

Kwa hiyo yeye anakupa mawazo hasi, na roho yako inajaribu kupinga. Hapa ndipo msuguano unapotokea. Hapa ndipo unapoona mtu aliyekuwa na confidence anaanza kuwajitu la aibu - kutokana na mawazo hasi anayojazwa la Leviathan.

Hapa ndipo unapoona boy ambaye alikuwa anaongea vizuri na watoto wakike - anaanza kuonesha tabia wild.

Jinsi ya kupona
Jifungie ndani kwa siku 7 ili ufanye mambo hayo hapo chini

- Funga siku 7: Funga yako iwe ya kikristo, unaweza uka-Google au YouTube jinsi ya kufunga properly.

-Soma biblia ndani ya wiki hiyo yote (Agano Jipya)

-Fatilia maombi na mafundisho ya biblia kupitia videos za YouTube (eg : Edu Udechukwu, TB Joshua, Brother Hyeok) - hawa wanauwezo wa kuitoa roho

-Usiruhu mawazo ya ngono yaingie katika Akili yako

Ukishamaliza wiki 1 utaanza kuona utofauti.

Usije kurudi tena kwenye huu uchafu, kwa sababu utakaporudi tambua huyu pepo anatarudi na wengine ambao watakua wild zaidi yake.
wabongo mnapenda uganga eti pepo khee
 
Endelea kuchukua sheria mkonono kijana, acha uzembe
 
Issue punyeto anayo ifanya nyuma yake hadi anaifanya kuna ushawishi wa nini ? ( ni kiu kama kiu ), under control ya spirit etc.. ndio ita amua nini kikukute.. Punyeto inakua kuwa issue unapo provoke spirit ila kama unaweza piga nyeto bila ku provoke spirit haina msara
Maisha ya Mwafrika ni magumu sana!

Naomba niishie hapo!
 
Juzi kuna mdau hapa alileta uzi unaohusu mcheza filamu za ngono akisaini kandarasi ambayo kwa mwaka analipwa mabilioni ya pesa.

Halafu kama haitoshi kuna sehemu iliyokuja kunistua ni kwenye kipengele cha bima ya mkataba. Hicho sitaki nikizungumzie

Ila kilichonipa maswali zaidi ni kwanini makampuni hayo yanatoa pesa nyingi hizo kulipa wacheza filamu za aina hiyo ilihali huku mtaani kila mmoja anakataa kuwa haangalii hizo video?

Sasa kama kila mmoja wetu anasema hapendi video hizo, je hizo video zinatazamwa na watu gani? Au wao wenyewe waliorekodi?

Ukiingia kwenye mitandao yao utaona idadi ya views zinagonga hadi bilion 7. Lakini ukimuuliza mtu anakujibu kuwa haangalii.

Kuna msanii miaka ya hivi karibuni aliwahi kumtolea wimbo Mia Khalifa, huyu naye kwenye interview akiulizwa anaweza akapinga kuwa haangalii zile video.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pia Leviathan sio Unclear spirit. Ujue kuna unclean spirit, kuna demons, evil spirit, fallen angel, wicked spirit etc .. somo lako zuri sana goja nilifanyia kazi..
Mkuu unajua sprit zoote zipo chini ya fallen angel,s.Ushawahi kuwaona??????Hata hapo ulipo wapo ukitaka unaweza kuwaona
 
Back
Top Bottom