Punyeto ni mlango wa Roho chafu

Punyeto ni mlango wa Roho chafu

Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako.

Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama ushaanza kujihisi weak Basi hii roho imeshakuvaa.

Kuanza ku-act ulelegelege ni moja kati ya viashirio kuwa hii roho ipo ndani yako.

Kazi za Leviathan, akishakuingia ndani yako:
- Chuki: Unajikuta ni mtu wa kuchukia watu bila sababu ya msingi .
Yawezekana chuki usioneshe katika uso, ila ndani ukawa na msukumo mkubwa wa kumchukia mtu ambaye humjui au umepishana nae.

- Kukosa hamu ya kuishi: Unakuwa ni ambaye hauoni uzuri wa maisha - Hii ndiyo sababu kubwa inayofanya wapiga punyeto wengi kujiua.

- Msongo Wa Mawazo: Huyu roho ni moja ya pepo wasumbufu sana anapoingia kichwani. Hapa huuanza kutengeneza mtazamo hasi kichwani , Pia huanza kutengeneza majadiliano yasiyo na msingi pamoja na roho.
Kwa hiyo yeye anakupa mawazo hasi, Na roho yako inajaribu kupinga. Hapa ndipo msuguano unapotokea. Hapa ndipo unapoona mtu aliyekuwa na confidence anaanza kuwa jitu la aibu - kutokana na mawazo hasi anayojazwa na Leviathan.
Hapa ndipo unapoona boy ambaye alikuwa anaongea vizuri na watoto wakike - anaanza kuonesha tabia wild.

- Hofu : kutokana na kujazwa mawazo hasi , hapa ndipo mtu anaanza kuona vitu tofauti. Matango aliyoyaona ni matunda , anayaona ni sex organs ambazo angetakiwa awenazo. Anajaribu kupambana but anshindwa - hapa ndipo mtu huanza kuwa ana hofu

- Kuona mambo tofauti : Akili huanza kutafsiri mambo tofauti na ilivyo kawaida . Wengine wanaona ni mwanamke - we unaona ni mke wako

Jinsi ya kupona
Jifungie ndani kwa siku 7 ili ufanye mambo hayo hapo chini

- Funga siku 7: Funga yako iwe ya kikristo, unaweza uka-Google au YouTube jinsi ya kufunga properly.

-Soma biblia ndani ya wiki hiyo yote (Agano Jipya)

-Fatilia maombi na mafundisho ya biblia kupitia videos za YouTube (eg : Edu Udechukwu, TB Joshua, Brother Hyeok) - hawa wanauwezo wa kuitoa roho

-Usiruhu mawazo ya ngono yaingie katika Akili yako

Ukishamaliza wiki 1 utaanza kuona utofauti.

Usije kurudi tena kwenye huu uchafu, kwa sababu utakaporudi tambua huyu pepo anatarudi na wengine ambao watakua wild zaidi yake.
Hii tiba kwa waislam inakuaje?
 
When musturbation is an evil how we can get rid from this fucking behavior,
And most of them we are not ready to get married ?

Punyeto is valid
 
Mkuu habari yako. Kiswahili ni lugha adhimu sana. Andika kwa kiswahili. Asante
 
1. Wanawake wanapiga punyeto kuliko hata wanaume
2. Maisha ya waafrika yamejaa kutishana tuuu kila kitu ni ushetani, majini, dhambi ili mradi tu usikae kwa raha na amani. Sasa uzinzi ni dhambi, uasherati dhambi, punyeto dhambi sasa mtu utakaaje na minyege yote hiyo? Ukiwa na nyege sana tunaambiwa majini mahaba yanatufata sasa mnataka tufanyaje? Nyeto idumu japo piga kwa afya
 
Mkuu kwenye hii dunia ya watu wenye akili nyingi nyie watu wa dini mtadharaulika sna , nawapa ushauri tu ndugu zangu hayo mambo yenu ya hadithi za sungura na fisi waambieni tu kondoo.
Mtumwa wa Ela - anajiita ana akilli nyingi?
Izo akili si bora , ufutie viatu
 
Sijasema ulivyo maanisha dhumuni langu ni kukuonyesha sio kila kitu nichakuunganisha na din kwa sababu zipo din zaid ya 4000 ,mambo mengne ni asili tu , pili sijawah kuwa mtumwa wa pesa labda useme mimi ni mtumwa wa tumbo langu kidgo nitakuelewa.
 
Sijasema ulivyo maanisha dhumuni langu ni kukuonyesha sio kila kitu nichakuunganisha na din kwa sababu zipo din zaid ya 4000 ,
Kwa hiyo kukiwa na wajinga wengi na mimi niwaze ujinga kama wao?
Na kwa nini unanipangia jinsi ya kufikiri?
pili sijawah kuwa mtumwa wa pesa labda useme mimi ni mtumwa wa tumbo langu kidgo nitakuelewa.
Utawezaje kuwa mtumwa wa tumbo bila ya kuwa mtumwa wa pesa katika dunia ya leo
Bado unaishi kwa wazazi , au upo kwa ndugu?
 
Kwa hiyo kukiwa na wajinga wengi na mimi niwaze ujinga kama wao?
Na kwa nini unanipangia jinsi ya kufikiri?

Utawezaje kuwa mtumwa wa tumbo bila ya kuwa mtumwa wa pesa katika dunia ya leo
Bado unaishi kwa wazazi , au upo kwa ndugu?
Sawa mkuu[emoji120]
 
Leviathan humuingia mtu pale anapopiga punyeto, kama unafanya hii dhambi Basi tambua umemfungulia mlango mwenyewe
Muache tu aingie moyoni mwangu. Awe wangu, wangu wa maisha
Namuahidi manii za kutosha mwezi huu. Njoo mama, njoo kipenzi Lu
 
Juzi kuna mdau hapa alileta uzi unaohusu mcheza filamu za ngono akisaini kandarasi ambayo kwa mwaka analipwa mabilioni ya pesa.

Halafu kama haitoshi kuna sehemu iliyokuja kunistua ni kwenye kipengele cha bima ya mkataba. Hicho sitaki nikizungumzie

Ila kilichonipa maswali zaidi ni kwanini makampuni hayo yanatoa pesa nyingi hizo kulipa wacheza filamu za aina hiyo ilihali huku mtaani kila mmoja anakataa kuwa haangalii hizo video?

Sasa kama kila mmoja wetu anasema hapendi video hizo, je hizo video zinatazamwa na watu gani? Au wao wenyewe waliorekodi?

Ukiingia kwenye mitandao yao utaona idadi ya views zinagonga hadi bilion 7. Lakini ukimuuliza mtu anakujibu kuwa haangalii.

Kuna msanii miaka ya hivi karibuni aliwahi kumtolea wimbo Mia Khalifa, huyu naye kwenye interview akiulizwa anaweza akapinga kuwa haangalii zile video.
Mbona mimi siangalii...simu yangu hairuhusu...kuangalia..inagoma kabisa
 
Muache tu aingie moyoni mwangu. Awe wangu, wangu wa maisha
Namuahidi manii za kutosha mwezi huu. Njoo mama, njoo kipenzi Lu
Maisha Ni kuchagua,
Hata MUNGU , hakulazimishi utende matendo mema au umuheshimu/kusali
Ila mwisho wa siku - matokeo yake ni kulia na kusaga meno
 
hatua ya kwanza ya kuacha nyeto ni kutafuta mbususu ya uhakika muda wote iwe available halafu hatua nyingine ndo zinafata
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako.

Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama ushaanza kujihisi weak Basi hii roho imeshakuvaa.

Kuanza ku-act ulelegelege ni moja kati ya viashirio kuwa hii roho ipo ndani yako.

Kazi za Leviathan, akishakuingia ndani yako:
- Chuki: Unajikuta ni mtu wa kuchukia watu bila sababu ya msingi .
Yawezekana chuki usioneshe katika uso, ila ndani ukawa na msukumo mkubwa wa kumchukia mtu ambaye humjui au umepishana nae.

- Kukosa hamu ya kuishi: Unakuwa ni ambaye hauoni uzuri wa maisha - Hii ndiyo sababu kubwa inayofanya wapiga punyeto wengi kujiua.

- Msongo Wa Mawazo: Huyu roho ni moja ya pepo wasumbufu sana anapoingia kichwani. Hapa huuanza kutengeneza mtazamo hasi kichwani , Pia huanza kutengeneza majadiliano yasiyo na msingi pamoja na roho.
Kwa hiyo yeye anakupa mawazo hasi, Na roho yako inajaribu kupinga. Hapa ndipo msuguano unapotokea. Hapa ndipo unapoona mtu aliyekuwa na confidence anaanza kuwa jitu la aibu - kutokana na mawazo hasi anayojazwa na Leviathan.
Hapa ndipo unapoona boy ambaye alikuwa anaongea vizuri na watoto wakike - anaanza kuonesha tabia wild.

- Hofu : kutokana na kujazwa mawazo hasi , hapa ndipo mtu anaanza kuona vitu tofauti. Matango aliyoyaona ni matunda , anayaona ni sex organs ambazo angetakiwa awenazo. Anajaribu kupambana but anshindwa - hapa ndipo mtu huanza kuwa ana hofu

- Kuona mambo tofauti : Akili huanza kutafsiri mambo tofauti na ilivyo kawaida . Wengine wanaona ni mwanamke - we unaona ni mke wako

Jinsi ya kupona
Jifungie ndani kwa siku 7 ili ufanye mambo hayo hapo chini

- Funga siku 7: Funga yako iwe ya kikristo, unaweza uka-Google au YouTube jinsi ya kufunga properly.

-Soma biblia ndani ya wiki hiyo yote (Agano Jipya)

-Fatilia maombi na mafundisho ya biblia kupitia videos za YouTube (eg : Edu Udechukwu, TB Joshua, Brother Hyeok) - hawa wanauwezo wa kuitoa roho

-Usiruhu mawazo ya ngono yaingie katika Akili yako

Ukishamaliza wiki 1 utaanza kuona utofauti.

Usije kurudi tena kwenye huu uchafu, kwa sababu utakaporudi tambua huyu pepo anatarudi na wengine ambao watakua wild zaidi yake.
Kama kuna ka ukweli nakaona humu 🫡

Sema hizo njia ulizoweka za kumtoa huyo pepo naona kama bado hazijajitosheleza.

Ila mimi naamini njia pekee yenye ufanisi kwa asilimia zaidi ya 90 ya kuacha punyeto ni KUOA kwa mwanaume na KUOLEWA kwa mwanamke, hizo zingine ni za kujazia nyama tu.

Ukiona umeoa au kuolewa na bado unapiga nyeto, basi wewe addiction yako ni kupelekwa Soba kabisa
 
Back
Top Bottom