Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 493
- 1,135
- Thread starter
- #101
Kuoa hakuwezi kukaua tatizo la punyeto,Kama kuna ka ukweli nakaona humu 🫡
Sema hizo njia ulizoweka za kumtoa huyo pepo naona kama bado hazijajitosheleza.
Ila mimi naamini njia pekee yenye ufanisi kwa asilimia zaidi ya 90 ya kuacha punyeto ni KUOA kwa mwanaume na KUOLEWA kwa mwanamke, hizo zingine ni za kujazia nyama tu.
Ukiona umeoa au kuolewa na bado unapiga nyeto, basi wewe addiction yako ni kupelekwa Soba kabisa
Coz una-deal na roho ya tamaa
Utaoa na tatizo litabaki pale pale