Punyeto ni mlango wa Roho chafu

Punyeto ni mlango wa Roho chafu

Internet-Money

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
493
Reaction score
1,135
Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako.

Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama ushaanza kujihisi weak Basi hii roho imeshakuvaa.

Kuanza ku-act ulelegelege ni moja kati ya viashirio kuwa hii roho ipo ndani yako.

Kazi za Leviathan, akishakuingia ndani yako:
- Chuki: Unajikuta ni mtu wa kuchukia watu bila sababu ya msingi .
Yawezekana chuki usioneshe katika uso, ila ndani ukawa na msukumo mkubwa wa kumchukia mtu ambaye humjui au umepishana nae.

- Kukosa hamu ya kuishi: Unakuwa ni ambaye hauoni uzuri wa maisha - Hii ndiyo sababu kubwa inayofanya wapiga punyeto wengi kujiua.

- Msongo Wa Mawazo: Huyu roho ni moja ya pepo wasumbufu sana anapoingia kichwani. Hapa huuanza kutengeneza mtazamo hasi kichwani , Pia huanza kutengeneza majadiliano yasiyo na msingi pamoja na roho.
Kwa hiyo yeye anakupa mawazo hasi, Na roho yako inajaribu kupinga. Hapa ndipo msuguano unapotokea. Hapa ndipo unapoona mtu aliyekuwa na confidence anaanza kuwa jitu la aibu - kutokana na mawazo hasi anayojazwa na Leviathan.
Hapa ndipo unapoona boy ambaye alikuwa anaongea vizuri na watoto wakike - anaanza kuonesha tabia wild.

- Hofu : kutokana na kujazwa mawazo hasi , hapa ndipo mtu anaanza kuona vitu tofauti. Matango aliyoyaona ni matunda , anayaona ni sex organs ambazo angetakiwa awenazo. Anajaribu kupambana but anshindwa - hapa ndipo mtu huanza kuwa ana hofu

- Kuona mambo tofauti : Akili huanza kutafsiri mambo tofauti na ilivyo kawaida . Wengine wanaona ni mwanamke - we unaona ni mke wako

Jinsi ya kupona
Jifungie ndani kwa siku 7 ili ufanye mambo hayo hapo chini

- Funga siku 7: Funga yako iwe ya kikristo, unaweza uka-Google au YouTube jinsi ya kufunga properly.

-Soma biblia ndani ya wiki hiyo yote (Agano Jipya)

-Fatilia maombi na mafundisho ya biblia kupitia videos za YouTube (eg : Edu Udechukwu, TB Joshua, Brother Hyeok) - hawa wanauwezo wa kuitoa roho

-Usiruhu mawazo ya ngono yaingie katika Akili yako

Ukishamaliza wiki 1 utaanza kuona utofauti.

Usije kurudi tena kwenye huu uchafu, kwa sababu utakaporudi tambua huyu pepo anatarudi na wengine ambao watakua wild zaidi yake.
 
Juzi kuna mdau hapa alileta uzi unaohusu mcheza filamu za ngono akisaini kandarasi ambayo kwa mwaka analipwa mabilioni ya pesa.

Halafu kama haitoshi kuna sehemu iliyokuja kunistua ni kwenye kipengele cha bima ya mkataba. Hicho sitaki nikizungumzie

Ila kilichonipa maswali zaidi ni kwanini makampuni hayo yanatoa pesa nyingi hizo kulipa wacheza filamu za aina hiyo ilihali huku mtaani kila mmoja anakataa kuwa haangalii hizo video?

Sasa kama kila mmoja wetu anasema hapendi video hizo, je hizo video zinatazamwa na watu gani? Au wao wenyewe waliorekodi?

Ukiingia kwenye mitandao yao utaona idadi ya views zinagonga hadi bilion 7. Lakini ukimuuliza mtu anakujibu kuwa haangalii.

Kuna msanii miaka ya hivi karibuni aliwahi kumtolea wimbo Mia Khalifa, huyu naye kwenye interview akiulizwa anaweza akapinga kuwa haangalii zile video.
 
Utapoteza malengo, hayo makitu yanakufanya ufocus kwenye zinaa na utatumia akili nyingi huko na kusahau mambo ya maendeleo
MUNGU mwenyewe huwa alazimishi , ila anakwambia - " Ukipita njia hii utatokea sehemu fulani."
Ngoja tuwaache , dunia iwafundishe.
 
Kila kitu kwa Mwafrika ni mapepo, maroho machafu, majini, na mambo mengine ya kiroho. Kwa wazungu huko na kwingineko mbona ni kawaida tu na wanapeta?

Na waondoa mapepo jamaa wanapiga hela kweli kwa maombi au vinginevyo.

Sisi bado saaaaaana!
Nyumba iliyo tayari kushajengwa , ilianzia kuonekana katika mazingira ya wazo(Akili)
 
Kila unapopiga punyeto unazadisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako.

Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kw wapiga punyeto kama ushaanza kujihisi weak Basi hii roho imeshakuvaa.

Kuanza ku-act ulelegelege ni moja kati ya viashirio kuwa hii roho ipo ndani yako.

Kazi za Leviathan, akishakuingia ndani yako
-Chuki: Unajikuta ni mtu wa kuchukia watu bila sababu ya msingi .

Yawezekana chuki usioneshe katika uso, ila ndani ukawa na msukumo mkubwa wa kumchukia mtu ambaye humjui au umepishana nae.

- Kukosa hamu ya kuishi: Unakuwa ni ambaye hauoni uzuri wa maisha - Hii ndiyo sababu kubwa inayofanya wapiga punyeto wengi kujiua.

- Msongo Wa Mawazo: Huyu roho ni moja ya pepo wasumbufu sana anapoingia kichwani. Hapa huuanza kutengeneza mtazamo hasi kichwani , Pia huanza kutengeneza majadiliano yasiyo na msingi pamoja na roho.

Kwa hiyo yeye anakupa mawazo hasi, na roho yako inajaribu kupinga. Hapa ndipo msuguano unapotokea. Hapa ndipo unapoona mtu aliyekuwa na confidence anaanza kuwajitu la aibu - kutokana na mawazo hasi anayojazwa la Leviathan.

Hapa ndipo unapoona boy ambaye alikuwa anaongea vizuri na watoto wakike - anaanza kuonesha tabia wild.

Jinsi ya kupona
Jifungie ndani kwa siku 7 ili ufanye mambo hayo hapo chini

- Funga siku 7: Funga yako iwe ya kikristo, unaweza uka-Google au YouTube jinsi ya kufunga properly.

-Soma biblia ndani ya wiki hiyo yote (Agano Jipya)

-Fatilia maombi na mafundisho ya biblia kupitia videos za YouTube (eg : Edu Duechuku, TB Joshua, Brother Hyeok) - hawa wanauwezo wa kuitoa roho

-Usiruhu mawazo ya ngono yaingie katika Akili yako

Ukishamaliza wiki 1 utaanza kuona utofauti.

Usije kurudi tena kwenye huu uchafu, kwa sababu utakaporudi tambua huyu pepo anatarudi na wengine ambao watakua wild zaidi yake.
Kwa spirit of Leviathan mwanangu umetulisha chai.. Leviathan hausiki na mambo yanayo husu sex.. huyo ni pride ndio mahala pake.. roho zinazo husika na masta ni kama ashtoreth, tonodo, jebezebel , baadhi ya marine spirit..
 
Kila kitu kwa Mwafrika ni mapepo, maroho machafu, majini, na mambo mengine ya kiroho. Kwa wazungu huko na kwingineko mbona ni kawaida tu na wanapeta?

Na waondoa mapepo jamaa wanapiga hela kweli kwa maombi au vinginevyo.

Sisi bado saaaaaana!
Issue punyeto anayo ifanya nyuma yake hadi anaifanya kuna ushawishi wa nini ? ( ni kiu kama kiu ), under control ya spirit etc.. ndio ita amua nini kikukute.. Punyeto inakua kuwa issue unapo provoke spirit ila kama unaweza piga nyeto bila ku provoke spirit haina msara
 
Kwa spirit of Leviathan mwanangu umetulisha chai.. Leviathan hausiki na mambo yanayo husu sex.. huyo ni pride ndio mahala pake.. roho zinazo husika na masta ni kama ashtoreth, tonodo, jebezebel , baadhi ya marin
Unataka huu uzi niugeuze wa kuongelea roho chafu.
No, sintayapa air-time.
Kwa ufupi nilikua nagusia madhara ya punyeto katika ulimwengu wa roho
 
Back
Top Bottom