Nimeenda bank kuweka hela nimesimama kwenye foleni masaa mawili
Nipo kwenye daladala jangwani hapapitiki dereva kala shortcut huko tumekwama kwenye foleni 3hrs hapo nmesimama tu
nafika huko ninapoenda nabebana na mizigo huku na huku narudi kwenye mwendokasi nasimama mpaka nafika ninapoenda
natembea njiani narudi home Najikwaaa njiani naruka ruka juu,halafu mnataka nifike nyumbani nipige tena push up 200 nyie
watu hamna hata akili badala mshauri mtu ukfika home upumzke,et uanze tena hangaika na mapushap mimi mnisamehe tu