Push Up 200 kwa Siku ni hatari kwa Afya!!

Push Up 200 kwa Siku ni hatari kwa Afya!!

Ukiangalia hapo unaweza kuhisi ni zoezi rahisi sana,mwenye kitambi hapo hata sekunde mbili kufikisha ni kazi
Duhh mzee mwanzoni, tumbo lilikua linachemka, linacheza cheza ila sahv nahs maumivu kwa mbali..ila naweza ku ya handle...nimelenga nifkshe dakika 5 asee
 
Nimeenda bank kuweka hela nimesimama kwenye foleni masaa mawili

Nipo kwenye daladala jangwani hapapitiki dereva kala shortcut huko tumekwama kwenye foleni 3hrs hapo nmesimama tu

nafika huko ninapoenda nabebana na mizigo huku na huku narudi kwenye mwendokasi nasimama mpaka nafika ninapoenda

natembea njiani narudi home Najikwaaa njiani naruka ruka juu,halafu mnataka nifike nyumbani nipige tena push up 200 nyie

watu hamna hata akili badala mshauri mtu ukfika home upumzke,et uanze tena hangaika na mapushap mimi mnisamehe tu
 
Push up 200+ izo tumwachie Zolla D. Kila siku asubuhi napiga 50 kwa round 1.
 
Mimi kila siku lazima nipige push up 250...! Ila nikisimama nanyooka vizuri tu
 
mh sina uakika kama kupiga push up nyingi kuna sababisha madhara au ndo chanzo cha kupinda mgongo ngoja niafatilie ntaleta mrejesho coz mm mwenyewe ni mpigaji w push up kila siku asubui 50 pamoja na jioni ninapo rudi napiga 50
 
Back
Top Bottom