The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Soda yotote = muunganiko wa ladha ya kutengenezwa/artificial flavor + sukari kali ya kiwandani + Maji + rangi + kemikali ya kuzuia uozo/preservative chemical.Putin amewataka wananchi wa Urusi kuachana na kunywa sumu ama kemikali kutoka kwenye vinywaji baridi kama Cocacola na wapendelee kunywa vinjwagi vya asili ambavyo havina sumu na pia sio kemikali.
Putin anadema Coca Cola ni kemikali tupu na ni sumu.
Mwaka .2012 Donald Trump aliwahi kusema Pepsi ama Coca Cola ni sumu, ni takataka.
Sumu nakunywa Mimi, Yeye shida yake nini?Putin amewataka wananchi wa Urusi kuachana na kunywa sumu ama kemikali kutoka kwenye vinywaji baridi kama Cocacola na wapendelee kunywa vinjwagi vya asili ambavyo havina sumu na pia sio kemikali.
Putin anasema Coca Cola ni kemikali tupu na ni sumu.
Mwaka .2012 Donald Trump aliwahi kusema Pepsi ama Coca Cola ni sumu, ni takataka.
Ni tahadhari tu, hata sigara unavuta wewe, lkn madhara yake ni kwa watu wako wa karibu.Sumu nakunywa Mimi, Yeye shida yake nini?
African,pigKichwa kinamuwaka moto
team rainbow mnaokoteza matakataka huko kwenye mitandao mingine halafu mnasema kauli ya putin.Putin amewataka wananchi wa Urusi kuachana na kunywa sumu ama kemikali kutoka kwenye vinywaji baridi kama Cocacola na wapendelee kunywa vinjwagi vya asili ambavyo havina sumu na pia sio kemikali.
Putin anasema Coca Cola ni kemikali tupu na ni sumu.
Mwaka .2012 Donald Trump aliwahi kusema Pepsi ama Coca Cola ni sumu, ni takataka.
Putin amewataka wananchi wa Urusi,sio wewe wa huko Temeke mikoroshini,Sumu nakunywa Mimi, Yeye shida yake nini?
Huku coca ilidhani ikiondoka Russia itabembelezwa.Putin wakati anawekewa vikwazo alijua ni utani.
Ni lazima kula vitu vya dukani?Sumu tunaila kwenye vitu vingi sana saivi. Yani kama tukisema tuache kula vitu vyenye sumu, hatutakula kila kitu cha dukani