Putin: Acheni kunywa Coca Cola, ni kemikali tupu, ni sumu

Putin: Acheni kunywa Coca Cola, ni kemikali tupu, ni sumu

Wazungu walipotangaza kuwekea vikwazo gas na Mafuta kutoka Russia walijua Russia ni kama Congo ya kinshasa sasa hivi wamemtuma Kijakazi wao Saudia anunue Gas hiyo ya Russia ili wainunue tena kwa black market
Putin wakati anawekewa vikwazo alijua ni utani.
Na kwa nguvu ambayo alikuwa nayo putin hadi saizi amefikia hatua kujadili kuhusu Coca-Cola basi putin ameishiwa pointi.
 
Mimi najikita hapo kwenye "kemikali tupu". Ni vinywaji gani hivyo vya asili ambavyo havina kemikali? Na kama havina kemikali, vina kitu gani?

Hata hewa tu tunayovuta ni kemikali. Tusivute hewa?
 
Putin amewataka wananchi wa Urusi kuachana na kunywa sumu ama kemikali kutoka kwenye vinywaji baridi kama Cocacola na wapendelee kunywa vinjwagi vya asili ambavyo havina sumu na pia sio kemikali.

Putin anasema Coca Cola ni kemikali tupu na ni sumu.

Mwaka .2012 Donald Trump aliwahi kusema Pepsi ama Coca Cola ni sumu, ni takataka.
Yaani Putin ni wa kujadili Coca cola?
 
Putin wakati anawekewa vikwazo alijua ni utani.
Na kwa nguvu ambayo alikuwa nayo putin hadi saizi amefikia hatua kujadili kuhusu Coca-Cola basi putin ameishiwa pointi.
Fikiri nje ya box kwanini amesema hivyo.
 
Back
Top Bottom