Putin: Acheni kunywa Coca Cola, ni kemikali tupu, ni sumu

Putin: Acheni kunywa Coca Cola, ni kemikali tupu, ni sumu

Kwa hiyo warusi wanywe Vodka tu!
Kwani Vodka haina 'sumu' na salama zaidi kunywewa na warusi?
Vodka ina sanitize mfumo wote wa mmeng'enyo wa chakula,...Na mm nasema wabugie tu Vodka tena ile Vladimir yenyewe
 
Mbona kachelewa sana kutangaza hadi wenyewe wamefunga kuuza soko la urusi ndio anakuja kusema kama sio unafiki ni nini?
 
Putin amewataka wananchi wa Urusi kuachana na kunywa sumu ama kemikali kutoka kwenye vinywaji baridi kama Cocacola na wapendelee kunywa vinjwagi vya asili ambavyo havina sumu na pia sio kemikali.

Putin anasema Coca Cola ni kemikali tupu na ni sumu.

Mwaka .2012 Donald Trump aliwahi kusema Pepsi ama Coca Cola ni sumu, ni takataka.

Kiukweli soda hazifai, Mimi binafsi nilishaacha kabisa kunywa soda,nakula beer tu kwenda mbele,

Soda na majuisi ya viwandani zina athari kubwa mwilini
 
Kwa hiyo masheikh wanataka kutuambia kwamba na wenyewe wataanza rasmi kunywa "vodka" kwa sababu Putin amewaambia coca cola ndio ina sumu.
 
Kwa hiyo masheikh wanataka kutuambia kwamba na wenyewe wataanza rasmi kunywa "vodka" kwa sababu Putin amewaambia coca cola ndio ina sumu.
Chezea kipigo wewe mzee putin keshachanganyikiwa anaweweseka cha kuchekesha Putin atapita na maisha ya warusi kupenda vya wester n yatarudi palepale na hizi bidhaa za western zitarudi tena urusi
 
Putin wakati anawekewa vikwazo alijua ni utani.
Na kwa nguvu ambayo alikuwa nayo putin hadi saizi amefikia hatua kujadili kuhusu Coca-Cola basi putin ameishiwa pointi.
hiki ndo kitu watu hawakion , ni aibu rais wa kampun kubwa kuzungumzia Coca Cola yawezekana warus weng walikuwa wanakipenda sn , sio rahis kuzungumzia tu
 
Back
Top Bottom