Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Shida yake ni wewe kunywa sumu.Sumu nakunywa Mimi, Yeye shida yake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida yake ni wewe kunywa sumu.Sumu nakunywa Mimi, Yeye shida yake nini?
Kwa maisha ya mjini vitu vya dukani havikwepeki. Mjini hata maji ya kunywa inalazimu ununue dukaniNi lazima kula vitu vya dukani?
Ulaya walipo ambiwa hawauziwi gesi bila rubble walijua ni utani.Putin wakati anawekewa vikwazo alijua ni utani.
Maji ya bomba sio maji?Kwa maisha ya mjini vitu vya dukani havikwepeki. Mjini hata maji ya kunywa inalazimu ununue dukani
SODA.Anae kunywa bia na anae kunywa soda ni nani anae athirika zaidi?
Maji ya bomba kuna sehemu hayanyweki. Yana chumvi hatariMaji ya bomba sio maji?
Kaa ivyoivyo na njaa yako, mwenzako hafkrii kesho atakula nn kama ww unavyoumiza fuvuKichwa kinamuwaka moto
Asante, nianze sasa kubadilisha mind setSODA.
Utakwepaji labda uwe kijijini.Ni lazima kula vitu vya dukani?
Sinywi tena soda maishaniSoda yotote = muunganiko wa ladha ya kutengenezwa/artificial flavor + sukari kali ya kiwandani + Maji + rangi + kemikali ya kuzuia uozo/preservative chemical.
Mbali na yote hayo maisha ni wewe mwenyewe na kupanga ni kuchagua.
Bora chumvi au bora sumu?Maji ya bomba kuna sehemu hayanyweki. Yana chumvi hatari
Kila kitu kina sumu kiwe cha asili au dukani