Putin: Acheni kunywa Coca Cola, ni kemikali tupu, ni sumu

Ni asili ya binadamu kupenda sumu coca-cola na pepsi walishawawini watu kisaikolojia ni ngumu Sana hizi kampuni kuja kufilisika, najua soda ni sumu lakini Mimi kwenye pepsi unitoi.
Sumu hazikwepeki kwenye vyakula, madawa, nk muhimu ni kutumia kula viua sumu
 
mbona IPO wazi.
Kinywaji Chochote au chakula vinavyotoka viwandani ni SUMU
 
Wakuu je bia nayo ni sumu? Maana uku ndio wataniua kabsa
 
Mpaka ifike December huyu Putin atakua chiz,chezea vikwazo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…