Putin achukizwa na Ugaidi. Atangaza kuisaidia Afrika dhidi ya Magaidi

Putin achukizwa na Ugaidi. Atangaza kuisaidia Afrika dhidi ya Magaidi

View attachment 3149026

Rais wa Urusi, Vladmir Putin ameahidi kuzisaidia Nchi Washirika wake Barani Afrika katika Sekta mbalimbali za kuleta maendeleo na amesema ataisaidia pia Afrika kupambana na ugaidi.

Rais Putin ameahidi kutoa msaada kamili kwa Bara la Afrika ahadi ambayo ameitoa leo Jumapili katika mkutano kati ya Maafisa wa Bara la Afrika na Urusi huko Sochi, Kusini Magharibi mwa Nchi hiyo.

Mtandao wa DW Kiswahili umeripoti kuwa katika hotuba ya Putin iliyotolewa na Waziri wake wa Mambo ya Nje Sergei Lavrov mbele ya Mawaziri ya Mambo ya Nje wa Mataifa mengine pamoja na Maafisa wengine wa ngazi za juu, Kiongozi huyo amesema Nchi yake itaendelea kuzisaidia kikamilifu Nchi Washirika wake Afrika katika Sekta mbalimbali.

Amesema Urusi inaweza kuyasaidia Mataifa hayo ya Afrika katika maendeleo endelevu, kupambana na ugaidi na itikadi kali pamoja na kupambana na majanga, matatizo ya chakula na athari zizanosababishwa na majanga ya kiasili.

Mkutano huu pia ni fursa nyingine kwa Urusi kutangaza malengo yake ya kutaka kuona ulimwengu usioendeshwa na Taifa au upande mmoja tu wa Dinia, ikiwa ni baada ya Taifa hilo kuaandaa mkutano wa kilele wa mataifa yanayokuwa kiuchumi ya BRICS, Urusi inataka kuuonesha Ulimwengu wa Nchi za Magharibi kwamba vikwazo vyake vilivyolenga kuifanya itengwe kutokana na kuivamia Ukraine vimeshindwa kufanya kazi.

SASA MAGAIDI NA IMANI YAO YAKAE CHONJO. PUTIN HANA MASIKHARA LINAPOKUJA SUALA LA MAGAIDI.

Ritz Webabu Adiosamigo FaizaFoxy Tuendeleeni kunywa mtori nyama tutazikuta chini.
#MillardAyoUPDATES
Sad story is huyu ni mkoloni mwingine na waafrika wanafurahia.
Ni lini waafrika watajisimamia wenyewe? Mpaka waje wasaidiwe?
 
Ile ya Msumbiji alicheza smart but baadae aliboronga baada ya kumuua one of his enemy aliyekua akiishi Msumbiji then dunia ikatambua why PK alipeleka majeshi yake kule; cause baada ya yule mpinzani wake kisiasa kuuawa na majeshi yake is like nayo yaliondoka MSUMBIJI ASAP
Majeshi yake bado yapo, na ndo maana siku hizi ishu ya magaidi msumbiji kidogo imetulia jamaa bado wapo
Screenshot_20241111-122300_Chrome.jpg
Screenshot_20241111-122154_Chrome.jpg
 
Sad story is huyu ni mkoloni mwingine na waafrika wanafurahia.
Ni lini waafrika watajisimamia wenyewe? Mpaka waje wasaidiwe?
Bora wawekane bize hao wakoloni........kuliko sokoni awepo mmoja anasumbua sana,,,,,kwa sasa kila upande utajaribu kumshawishi mwali kwa namna yake
 
Wakianza kushughulikiwa mtaanza kulialia na kudai waislam wanaonewa wakati inajulikana wazi kwamba sio kila muislam ni gaidi ila kila gaidi ni muislam.
Outin anafahamu magaudi kina nani na Waislqm tunfwhwm magaidi ni kina nani , ukimuona "Muislam" anatumikia kwenye kundi la kigaidi elewa kuwa huyo ni muhuni wa mtaani aliyeajiriwa tu.
 
View attachment 3149026

Rais wa Urusi, Vladmir Putin ameahidi kuzisaidia Nchi Washirika wake Barani Afrika katika Sekta mbalimbali za kuleta maendeleo na amesema ataisaidia pia Afrika kupambana na ugaidi.

Rais Putin ameahidi kutoa msaada kamili kwa Bara la Afrika ahadi ambayo ameitoa leo Jumapili katika mkutano kati ya Maafisa wa Bara la Afrika na Urusi huko Sochi, Kusini Magharibi mwa Nchi hiyo.

Mtandao wa DW Kiswahili umeripoti kuwa katika hotuba ya Putin iliyotolewa na Waziri wake wa Mambo ya Nje Sergei Lavrov mbele ya Mawaziri ya Mambo ya Nje wa Mataifa mengine pamoja na Maafisa wengine wa ngazi za juu, Kiongozi huyo amesema Nchi yake itaendelea kuzisaidia kikamilifu Nchi Washirika wake Afrika katika Sekta mbalimbali.

Amesema Urusi inaweza kuyasaidia Mataifa hayo ya Afrika katika maendeleo endelevu, kupambana na ugaidi na itikadi kali pamoja na kupambana na majanga, matatizo ya chakula na athari zizanosababishwa na majanga ya kiasili.

Mkutano huu pia ni fursa nyingine kwa Urusi kutangaza malengo yake ya kutaka kuona ulimwengu usioendeshwa na Taifa au upande mmoja tu wa Dinia, ikiwa ni baada ya Taifa hilo kuaandaa mkutano wa kilele wa mataifa yanayokuwa kiuchumi ya BRICS, Urusi inataka kuuonesha Ulimwengu wa Nchi za Magharibi kwamba vikwazo vyake vilivyolenga kuifanya itengwe kutokana na kuivamia Ukraine vimeshindwa kufanya kazi.

SASA MAGAIDI NA IMANI YAO YAKAE CHONJO. PUTIN HANA MASIKHARA LINAPOKUJA SUALA LA MAGAIDI.

Ritz Webabu Adiosamigo FaizaFoxy Tuendeleeni kunywa mtori nyama tutazikuta chini.
#MillardAyoUPDATES
Magaidi wote Africa wanafadhiliwa na West, sasa hivi Putin akianza Kusafisha magaidi huko Mali utasikia Ufaransa wanavyoanza kulia Lia.
 
Ugaidi ni nini hebu tufahamisheni? Sababu wanao fanya genocide mnasema wameokokaa na ni vipenzi vya Mungu haha, huyo Mungu gani anaye penda kuona genocide unless muwe mnaabudu shetani hapo 😄

Huyu Putin simlikuwa mna mlani, wakristo hamfahamik mpo wapi. Kama vile misalaba yenu, ipo njia panda
Ukisikia UBISHI ndio kama hu sasa. Magaidi yanapiga matukio nchi tofauti tofauti duniani, hapa Tanzania pia tumewahi kupigwa tukio mwaka 1998 hadi kupelekea kutungwa sheria ya ugaidi miaka ile, watu wa jamii fulani waliipigia kelele sheria ile (sijui walikua wanahofia nini ) as if kuna watu walikua wamejiandaa kufanya ugaidi. Halafu hap unaowaita Wakristo wakimlaum Putin, walifanya hivo as an individual or kama taasisi? Mimi ni Mkristo, nimekua namuunga mkono Putin since day one kwa operations zake, ehee na hi imekaaje? Tofautisha mitazamo ya kidini na ya mtu binafsi; sio Waislamu wote wanao support ugaidi akiwepo ndugu yangu mmoja humu ambaye anasema, mama yake ni Msomali lakini wapo Waislamu wanao support ugaidi. Wapo Wakristo wengi tu ninao wafahamu wana unga mkono vikundi vya kupigania haki ya Palestine, mmoja wapo ni Julius Kambarage Nyerere, huyu alifukuza hadi balozi wa Israeli nchini kwetu na akabaki balozi wa Wapalestina to date, Tundu Antipas Lissu as well ni Mkristo wa madhehebu ya RC but nae hakubaliani na Israel. Mimi binafsi kwa issues za Israel na Palestine naunga mkono Israel but wapo pia Waislamu wengi tu duniani wanaunga mkono Israel, mfano Saudia, Misri, nk. Wanao pinga ni Yemen, Iran. Hapo napo misalaba inahusika? Fanya utafiti wako kabla, jisomee na ujiridhishe kibinafsi ndio uamue kuamini au kulaumu jambo fulani, usiwe Fata upepo, wewe sio bendera
 
Bora wawekane bize hao wakoloni........kuliko sokoni awepo mmoja anasumbua sana,,,,,kwa sasa kila upande utajaribu kumshawishi mwali kwa namna yake
Point ya kijinga sana, yaani unaona bora afrika iendelee kugombaniwa? Na waafrika mpo tu ?
 
Point ya kijinga sana, yaani unaona bora afrika iendelee kugombaniwa? Na waafrika mpo tu ?
Sasa watafanya nini? We umeona kuna kitu kitafanyika kwa sasa? Kikubwa waje hao wakoloni ila viongozi wajue kukata nyama kwa upande wetu,,,Africa haiwezi kuwakwepa wamagharibi wala wamashariki kikubwa na yeye ajifunze tu kula na matapeli
 
Magaidi wanaandaliwa na kufadhiliwa na Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya yanayoiba Afrika
Kuna gaidi duniani kama USA, afu anafata mwanae Israel, bada ya hapo wanakuja cousin zake US kina UK, Australia,afu wajomba zao France, Germany, Portugal hawa wakati wafrica kuna mali walitawala nchi hizo kwa uwaji na kuwatesa. Hivi wabongo mmewasahau kina chief Mkwawa na wenzao. Kulikuwa na watemi wanawapinga hao magaidi kina Mirambo na etc.

Ajabu siku hizi gaidi anakuuwa afu anasema wewe ndio gaidi 😄
 
Ukisikia UBISHI ndio kama hu sasa. Magaidi yanapiga matukio nchi tofauti tofauti duniani, hapa Tanzania pia tumewahi kupigwa tukio mwaka 1998 hadi kupelekea kutungwa sheria ya ugaidi miaka ile, watu wa jamii fulani waliipigia kelele sheria ile (sijui walikua wanahofia nini ) as if kuna watu walikua wamejiandaa kufanya ugaidi. Halafu hap unaowaita Wakristo wakimlaum Putin, walifanya hivo as an individual or kama taasisi? Mimi ni Mkristo, nimekua namuunga mkono Putin since day one kwa operations zake, ehee na hi imekaaje? Tofautisha mitazamo ya kidini na ya mtu binafsi; sio Waislamu wote wanao support ugaidi akiwepo ndugu yangu mmoja humu ambaye anasema, mama yake ni Msomali lakini wapo Waislamu wanao support ugaidi. Wapo Wakristo wengi tu ninao wafahamu wana unga mkono vikundi vya kupigania haki ya Palestines, mmoja wapo no Julius Kambarage Nyerere, huyu alifukuza hadi balozi wa Israeli nchini kwetu na akabaki balozi wa Wapalestina to date, Tundu Antipas Lissu as well ni Mkristo wa madhehebu ua RC but nae hakubaliani na Israel. Mimi binafsi kwa issues za Israel na Palestine naunga mkono Israel but wapo pia Waislamu wengi tu duniani wanaunga mkono Israel, mfano Saudia, Misri, nk. Wanao pinga ni Yemen, Iran. Hapo napo misalaba inahusika? Fanya utafiti wako kabla, jisomee na ujiridhishe kibinafsi ndio uamue kuamini au kulaumu jambo fulani, usiwe Fata upepo, wewe sio bendera
Kwanza wanao waita waislam humu magaidi ni nani? Pia we mwenyewe umekubali sio kila Muislam au Mkristo ni gaidi lakini pia wapo magaidi upande wenu. Kwenye uislam hakuna gaidi hao magaidi wanatumia majina ya kislamu tu. Nyie huwa mnachuki na Waislam, wengi wenu sio wote na mimi ukifatilia mada zangu za nyuma, huwa nasema wako wakristo ni marafiki zangu lakini dini yenu mmeitoa wapi. Mbona hamjibu. Nyerere fatilia story yake, alisaidiwa na Waislam sana ndio mana aliwaheshimu sana..
 
Wewe ndio muislam wa kwanza kukusikia ukisema Nyerere aliwaheshimu sana Waislamu. Anyway, tuyaache hayo kaka, nitajie kikundi chochote cha Kigaidi duniani ambacho ni cha Kikristo na kimefanya matukio nchi zaidi ya moja then na mimi nitataja makundi ya kigaidi duniani yenye yanatumia dini ya Kiislam. Umesema Wakristo wana chuki? Bro, muogope Mungu wako hata kidogo. Lini umewahi kusikia Mkristo kamtenga muislamu popote? Hospitals zao, shule zao, vyuo vyao, biashara zao wapi umewahi kusikia wanawakataa Waislamu? Enzi za JK juzi tu, Waislamu walieneza chuki kwenye mikutano yao kwamba mfumo Kristo, mara Wakristo wanapewa pesa za ku run biashara zao; tuweni wakweli, shutuma zile zingerushwa na radio Maria au Agape TV or Upendo TV halafu Bakwata ndio ingekua na taasisi yoyote ya maana inayotoa huduma, kuna Mkristo angebaki kule? Tafuta hotuba za siku ile Mkapa anawapa majengo ya chuo kikuu pale Morogoro, viongozi walitoa ultimatum kabisa kwamba ni kina nani watasoma pale. Thank God, Kikwete akiwa kwenye msikiti wa Gaddafi alitoa elimu kuhusu shutuma zile na ndio tukajua kumbe kuna uongo mwingi sana unaenezwa kwenye nyumba za ibada na vijiweni.
 
Mbona sasa anafadhili magaidi Iran?
Huu ndio mwisho wa mahusiano ya Putin na Iran.

Trump atamsaidia Putin kuimega Ukraine. Na Putin hatamuingilia Trump kumpoteza Ayatolla.

Bifu la Ayatolla na Trump halijaisha, Utawala wa kidini wa Iran ulitangaza Fatwa ya kimya kimya dhidi ya Trump baada ya kuuawa kwa Jenerali Soleimani. Na juzi kwny kampeni, Iran walikoswakoswa kumuua Trump.

Walikubaliana kuendelea kumuwinda baada ya kampeni kwani Tehran iliamini Trump angeshindwa uchaguzi.

Haya sasa, wasiempenda kaja!
 
Wewe ndio muislam wa kwanza kukusikia ukisema Nyerere aliwaheshimu sana Waislamu. Anyway, tuyaache hayo kaka, nitajie kikundi chochote cha Kigaidi duniani ambacho ni cha Kikristo na kimefanya matukio nchi zaidi ya moja then na mimi nitataja makundi ya kigaidi duniani yenye yanatumia dini ya Kiislam. Umesema Wakristo wana chuki? Bro, muogope Mungu wako hata kidogo. Lini umewahi kusikia Mkristo kamtenga muislamu popote? Hospitals zao, shule zao, vyuo vyao, biashara zao wapi umewahi kusikia wanawakataa Waislamu? Enzi za JK juzi tu, Waislamu walieneza chuki kwenye mikutano yao kwamba mfumo Kristo, mara Wakristo wanapewa pesa za ku run biashara zao; tuweni wakweli, shutuma zile zingerushwa na radio Maria au Agape TV or Upendo TV halafu Bakwata ndio ingekua na taasisi yoyote ya maana inayotoa huduma, kuna Mkristo angebaki kule? Tafuta hotuba za siku ile Mkapa anawapa majengo ya chuo kikuu pale Morogoro, viongozi walioa ultimatum kabisa kwamba ni kina nani watasoma pale. Thank God, Kikwete akiwa kwenye msikiti wa Gaddafi alitoa elimu kuhusu shutuma zile na ndio tukajua kumbe kuna uongo mwingi sana unaenezwa kwenye nyumba za ibada na vijiweni.
Nyerere aliwaheshimu waislam lakini pia alikuwa anawamaliza kwa chini chini, kuna tofouti ya kumheshimu na kumdhuru labda kiswahili kinakupiga chenga Waislam pia wanawaheshimu wakristo ambao wanao jiheshimu. Sio hawa wa JamiiForums kila kukicha magaidi magaidi wanakusudia waislam. Mimi nimeisha wauliza sana humu gaidi kwa tafsiri zao ni nani hawajibu, we unaweza kusema wale watoto walio uliwa Gaza ni magaidi, au wale wanawake ni magaidi lakini wenzako wanasema ni magaidi wameuliwa na Israel sasa unataka niheshimu wakristo type hizo? Mimi nimeisha zunguka karibu Europe yote wako watu wengi hawana chuki na Waislamn lakini pia wapo wenye chuki kwa hio sio wakristo wote ni washenzi lakini wapo pia wengi ni washenzi. Nyerere bila Waislam angekuwa Marehamu kabla ya uhuru.
 
Moja kati ya mawazo ya kipuuzi sana ni kuhusisha kila kitu na dini. Mtu akikufanyia hiki unahusisha DINI, very stupid mindset. Waliomsaidia Nyerere kupigania uhuru wapo wengi, akiwepo baba yake Freeman Mbowe, nasahau majina ya wale wazee wa Kisukuma mmoja alikua na office pale Toyota house ilipo Citibank leo, husikii wakitajwa kwa Ukristo wao; why nyie kila kitu mnahusisha na Uislamu na sio Utanganyika? Sijui ni wewe uliyezungumzia kuhusu upendo kati ya Ukristo na Uislam? Lebanon inajulikana kua nchi yenye wakristo wengi pale Middle east; Wapalestina walivokua wanapigwa na Israel mahali pekee walipo pokelewa ni Lebanon; Syria, Iraq, Saudia nk hazikuthubutu, Misri ndio kabisa, kajenga hadi na ukuta wenye nyaya za umeme; unazungumzia upendo kidini? Lini umewahi kusikia wakimbizi wanakimbiliaga nchi za Kiislam? Is either watakwenda Ulaya, Marekani na Africa; juzi Uganda imechukua wakimbizi wa kutosha from Afghanistan, Afghanistan ipo jirani na nchi nyingi tu za kiislam kama Pakistani, Iran nk, Iran hi inayosifiwa na Waislamu wengi humu. Juzi tena, Tanzania imechukua Wasudani wengi tu, wanafunzi wa chuo kikuu wamewekwa pale Muhimbili, unazungumzia habari gani mkuu?
 
Moja kati ya mawazo ya kipuuzi sana ni kuhusisha kila kitu na dini. Mtu akikufanyia hiki unahusisha DINI, very stupid mindset. Waliosaidia Nyerere kupigania uhuru wapo wengi, akiwepo baba yake Freeman Mbowe, nasahau majina ya wale wazee wa Kisukuma mmoja alikua na office pale Toyota house ilipo Citibank leo, husikii wakitajwa kwa Ukristo wao; why nyie kila kitu mnahusisha na Uislamu? Sijui ni wewe uliyezungumzia kuhusu upendo kati ya Ukristo na Uislam? Lebanon inajulikana kua nchi yenye wakristo wengi pale Middle east; Wapalestina walivokua wanapigwa na Israel mahali pekee walipo pokelewa ni Lebanon, Syria, Iraq, Saudia nk hazikuthubutu, Misri ndio kabisa, kajenga hadi na ukuta wenye nyaya za umeme; unazungumzia upendo kidini? Lini umewahi kusikia makimbizi wanakimbiliaga nchi za Kiislam? Is either watakwenda Ulaya, Marekani na Africa; juzi Uganda imechukua wakimbizi wa kutosha from Afghanistan, Afghanistan ipo jirani na nchi nyingi tu za kiislam kama Pakistani, Iran nk, Iran hi inayosifiwa na Waislamu wengi humu. Juzi tena, Tanzania imechukua Wasudani wengi tu, wanafunzi wa chuo kikuu wamewekwa pale Muhimbili, unazungumzia habari gani mkuu?
We akili zako unadhani nchi zinazo chukua wakimbizi hazitafuti pesa, Iran hana njaa ya kusaidiwa ndio mana haihitaji wakimbizi. Europe we umelala wametajirika kwa kuwatumia wakimbizi. Waliposhiba sasa wanaona wawache watajirike sa kina Poland, Romania na etc ambao wanao chukua ma refugees kutoka Ukraine.
Nenda kaulize Turkey alingiza pesa ngapi kwa kupokea refugees, kwa hio kuza akili zako😆

Hakuna nchi ikachukua wakimbizi bure Tanzania na Uganda watu wake njaa, akalete mzigo mwingine bila maslaha hahaha. Nchi za kiarabu ndio watowaji kama hujui. We kwa kuwa mjinga ndio hufahamu. Kuna tofauti kutoa na kuwapokea. Ambaye anawapokea analipwa, eti nchi za kislam hazitoi, kweli wewe hazikutoshi.

US kwenye mafuriko kauliza Qatar na Saud Arabia walimpa pesa ngapi.

Nyerere alisaidiwa zaidi na Waislam kuliko hao kina mbowe hio inajulikana wazi, hata mbowe anajua hilo kamulize.

Dini mnaileta nyinyi humu kusupport genocide kama sio wewe, wavaa msalaba wenzako. We pia umeleta udini hapa kwa kusema nchi za kislam hazichukui ma refugees, wakati wao ndio watowaji pesa hizo. Nenda kasome history za Qatar, UAE, Kuwait, Saud Arabia wanavyo toa misada ndio utajua kutoa sio lazima uwaweke kwako. Wenye njaa ndio wenye kuchukua wakimbizi ili walipwe. Mfano mdogo kaulize Rwanda amelipwa pesa ngapi na UK ili achukue hao wakimbizi kuza akili wewe wacha kuongea kama mlevi hapa.

Kuhusu Egypt, Jordan sijui border zao zimetiwa mpaa nyaya za umeme we hujui Egpty ina wakristo kuliko Lebanon. Afu aliye amrisha vile nani si US kwa ajili ya usalama wa Israel, we hujui Egypt na Jordan wanalipwa ngapi kwa ajili ya kumkinga Israel. We nashaka hazikutoshi, kumbe umelala sana kama unadhani nyaya za umeme ni Egpty ndio kaweka, ni US tena kwa pesa zake.
 
Outin anafahamu magaudi kina nani na Waislqm tunfwhwm magaidi ni kina nani , ukimuona "Muislam" anatumikia kwenye kundi la kigaidi elewa kuwa huyo ni muhuni wa mtaani aliyeajiriwa tu.
Vikundi vyote vya kigaidi duniani vinakiri kwa vinywa vyao kwamba vinampigania mungu wao anayeitwa allah.

Vilevile vinadai kwamba wafuasi wao wakifa wakimpigania huyo allah wanaenda moja kwa moja akhera na kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo na pia huko akhera wanapewa uume unaosimama mwaka mzima januari hadi januari na bila kusahau pombe inayotiririka kwenye mito ya huko akhera.

Kwa hiyo wanadai kufa ukimpigania allah ni fahari kubwa.
 
Magaidi wote Africa wanafadhiliwa na West, sasa hivi Putin akianza Kusafisha magaidi huko Mali utasikia Ufaransa wanavyoanza kulia Lia.
1. Kwa nini hao magaidi wakubali kutumikia makafiri kufanya uovu wote huo kama kweli uislamu unapinga uovu huo.

2. Kwa nini magaidi wenyewe hawakubali kwamba wanatumiwa na makafiri na badala yake wenyewe wanadai kumtumikia mungu wao anayeitwa allah.

3. Kwa nini hata siku moja waislam kote ulimwenguni hawajawahi kulaani huu uovu unaofanywa na hivi vikundi vya kigaidi vya kiislamu.

4. Kama ni nchi za magharibi ndizo zinafadhili magaidi kwa nini basi zisiwatumie wakristo badala ya kuwatumia waislam na kwa nini hivi vikundi vyote vya kigaidi viwe vya waislam tu na si dini zingine...⁉️⁉️⁉️
 
Back
Top Bottom