baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Wewe unaishi kajamba nani ndio upo obsessed na uisilamu na Ukristo ila hao wanaofund Magaidi wa naangalia maslahi yao tu na wanafurahi sana wakiona Comment kama yako sababu lengo lao limefanikiwa.1. Kwa nini hao magaidi wakubali kutumikia makafiri kufanya uovu wote huo kama kweli uislamu unapinga uovu huo.
2. Kwa nini magaidi wenyewe hawakubali kwamba wanatumiwa na makafiri na badala yake wenyewe wanadai kumtumikia mungu wao anayeitwa allah.
3. Kwa nini hata siku moja waislam kote ulimwenguni hawajawahi kulaani huu uovu unaofanywa na hivi vikundi vya kigaidi vya kiislamu.
4. Kama ni nchi za magharibi ndizo zinafadhili magaidi kwa nini basi zisiwatumie wakristo badala ya kuwatumia waislam na kwa nini hivi vikundi vyote vya kigaidi viwe vya waislam tu na si dini zingine...⁉️⁉️⁉️
Wanatumia wote Wakristo na waisilamu sababu Media zinatangaza upande mmoja haimaanishi mambo duniani kote yapo hivyo, hapo Uganda kuna Kina Joseph kone, Central Africa, South Sudan, Congo, Angola, Sierra leone na sehemu kibao hivi Vikundi vipo vinaitwa Tu majina tofauti tofauti. Hata ukitoka nje ya Africa Sri Lanka, Ukraine na kwengineko yapo, just Google Neo Nazi group kuna Mamia ya makundi ambayo yanaua na kufanya matukio ya kutisha, huoni kwenye BBC ila yapo recorded kwenye vyombo kibao vya wasomi.
Na waisilamu kibao wanalaani, nikuulize tu maisha yako yote ushawahi sikiliza vyombo gani vya habari vikubwa vikubwa vya waisilamu? Ama masheikh wangapi wakubwa unawasikiliza ama kufuata lecture zao? Masheikh wengi wakubwa wana refer Isis kama mbwa wa motoni.
Na wata admit vipi ni vibaraka wa West? Logic ya kipuuzi kabisa, wao wanalipwa ku pretend ni makundi ya kiisilamu, waki admit si watakua wanatoa siri sasa?