Putin achukizwa na Ugaidi. Atangaza kuisaidia Afrika dhidi ya Magaidi

Wewe unaishi kajamba nani ndio upo obsessed na uisilamu na Ukristo ila hao wanaofund Magaidi wa naangalia maslahi yao tu na wanafurahi sana wakiona Comment kama yako sababu lengo lao limefanikiwa.

Wanatumia wote Wakristo na waisilamu sababu Media zinatangaza upande mmoja haimaanishi mambo duniani kote yapo hivyo, hapo Uganda kuna Kina Joseph kone, Central Africa, South Sudan, Congo, Angola, Sierra leone na sehemu kibao hivi Vikundi vipo vinaitwa Tu majina tofauti tofauti. Hata ukitoka nje ya Africa Sri Lanka, Ukraine na kwengineko yapo, just Google Neo Nazi group kuna Mamia ya makundi ambayo yanaua na kufanya matukio ya kutisha, huoni kwenye BBC ila yapo recorded kwenye vyombo kibao vya wasomi.

Na waisilamu kibao wanalaani, nikuulize tu maisha yako yote ushawahi sikiliza vyombo gani vya habari vikubwa vikubwa vya waisilamu? Ama masheikh wangapi wakubwa unawasikiliza ama kufuata lecture zao? Masheikh wengi wakubwa wana refer Isis kama mbwa wa motoni.

Na wata admit vipi ni vibaraka wa West? Logic ya kipuuzi kabisa, wao wanalipwa ku pretend ni makundi ya kiisilamu, waki admit si watakua wanatoa siri sasa?
 
Wewe acha uongo bwana, hao magaidi ni wa imani yenu na ni watu mnaosali nao siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…