MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Bila vikwazo vya kiuchumi na kushirikiana na shoga zake kumchangia Iraq ambaye alikuwa amefungwa mikono(amewekewa vikwazo vya uchumi kwa muda mrefu). Kama huo ndo U- supapawa, basi hata Mozambique ni supapawa, kwani kawashinda ISIS kule Capo Delgado kwa usaidizi wa Rwanda, na SADC
Alitembezwa kichapo cha mbwa koko, hiyo ndio maana ya supapawa, unapiga mwarabu na kumuwahisha akapewe mabikira.