Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hii ilitokea wakiwa wanajadili masuala kadhaa ya biashara Waziri wa Russia wa Kilimo akatolea mfano jinsi Ujerumani inafaidika kwa mauzo ya kitimoto/nguruwe kwa mamilioni ya tani kwenye nchi nyingi ikiwemo Indonesia taifa lenye Waislamu wengi zaidi duniani, ndipo Putin akamuambia Indonesia hawali kitimoto.