4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
acha kukaririAccused- shutumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kukaririAccused- shutumu
ukiona kelele ujue anakaribia kupoteza hali ni ngumuPutin analalama huku nchi anaimega taratibu pamoja na wenzake kuwa wapo zaidi ya 30 na bado hawajarudisha hata kitongoji[emoji13]
Badala alaumu ujinga wake analaumu kaka wa dunia
Duh [emoji848]Pro russia si mlikuwa mnasema Putin anataka vita idumu muda mrefu? Mambo yamegeuka?
Tuliwaambia hapa hesabu za putin alikuwa achukue kiev ndani ya wiki moja amalize mkaleta ngebe naona sasa anaanza kulia lia wakati hata F16 bado hazijafika Ukraine[emoji23]
Na kibaya zaidi bajeti ya Russia kwa Ukraine ishamaliza muda sasaiv wanapigana kwa hasara tofauti na matarajio na mipango yao ya awali., ni vile imekula kwake bwana PutiniAishutumu USA kwa kuipa Ukraine silaha ambazo zinampa shida kwenye kujaribu kuparamia Ukraine.
Sasa hivi Warusi wamekwama kwenye mahandaki inakua vigumu kupiga hatua maana mziki wa HIMARS umekua balaa.
=============
Russian President Vladimir Putin accused Washington on Tuesday of drawing out the war in Ukraine, as explosions rocked a Russian military facility on the Kremlin-controlled peninsula of Crimea.
The first UN-chartered vessel laden with grain meanwhile left Ukraine for Africa following a hallmark deal brokered by Turkey and the UN to relieve a global food crisis.
"The situation in Ukraine shows that the US is trying to prolong this conflict," Putin said, addressing the opening ceremony of a security conference in Moscow.
Washington is "using the people of Ukraine as cannon fodder", he said, lashing out at the United States for supplying weapons to Kyiv.
Russia invaded Ukraine in February, anticipating little military resistance and hoping for a lightning takeover that would topple the government in Kyiv within hours.
But after failing to capture the capital, Russia's military instead has become entrenched in a protracted bout of attrition with the sprawling front line in the east and south.
The United States has provided key economic and military backing to Kyiv, in particular supplying Ukraine with long-range, precision artillery that has allowed it to strike Russian supply facilities deep inside Moscow-controlled territory.
Yan jamaa la ajabu kweli naona limeamisha magoli si lilisema atakaeingilia huu mtanange atamwashia moto mbona lawama nyingi litulie sindano ya tembo iliingie... hili dikteta halina hata aibu; kwamba liachwe tu livamie nchi za watu jinsi lipendavyo bila kizuizi au? Mbona rahisi; asingevamia Ukraine hakuna mtu angehangaika naye.
Sasa hivi anakaa shimoni kama ndezi nayewindwa anapoona pori limewaka moto: Ni askari kichaa tu wa Urusi atakekubari amri ya kuihujumu moja kwa moja USASi alisema atamshughurikia barabara yeyote atakayeingilia kwanamna yoyote huko Ukraine