Putin alalamikia USA kwa kusababisha vita vya Ukraine vichukue muda mrefu

Pro russia si mlikuwa mnasema Putin anataka vita idumu muda mrefu? Mambo yamegeuka?

Tuliwaambia hapa hesabu za putin alikuwa achukue kiev ndani ya wiki moja amalize mkaleta ngebe naona sasa anaanza kulia lia wakati hata F16 bado hazijafika UkrainešŸ˜‚
 
Duh [emoji848]
 
Na kibaya zaidi bajeti ya Russia kwa Ukraine ishamaliza muda sasaiv wanapigana kwa hasara tofauti na matarajio na mipango yao ya awali., ni vile imekula kwake bwana Putini
 
... hili dikteta halina hata aibu; kwamba liachwe tu livamie nchi za watu jinsi lipendavyo bila kizuizi au? Mbona rahisi; asingevamia Ukraine hakuna mtu angehangaika naye.
Yan jamaa la ajabu kweli naona limeamisha magoli si lilisema atakaeingilia huu mtanange atamwashia moto mbona lawama nyingi litulie sindano ya tembo iliingie
 
Si alisema atamshughurikia barabara yeyote atakayeingilia kwanamna yoyote huko Ukraine
Sasa hivi anakaa shimoni kama ndezi nayewindwa anapoona pori limewaka moto: Ni askari kichaa tu wa Urusi atakekubari amri ya kuihujumu moja kwa moja USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…