Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
Na Israel ilihidi kumaliza Hamas mara moja na kuokowa mateka wa kiahudi, Mosad ilikosea wapi katika intelligence yaoViongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?
Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza?
Trumpism and Putinism theories will take over the world??
Zingatia mada there is no where Israel is mentioned in the thread.Na Israel ilihidi kumaliza Hamas mara moja na kuokowa mateka wa kiahudi, Mosad ilikosea wapi katika intelligence yao
Tumia akili tu. Hiyo nayo umeshindwa ku-Google unakuja kuomba source? Ficha Ujinga sometimesNionyeshe source aliyosema atashika Ukraine within 48 hours
System ni mbovu na viongozi hawana commitment wala strategic plan PK anatumia hiyo kuwasumbua snKongo wanakata mauno nchi Yao ikienda na kagame
View: https://youtube.com/shorts/hQUyhgacDdY?si=ei5TxDrEdslueraP
Tuliza ball utajua mbivu na mbichi soon,ila dokezo tu,hata huko wapo chawa kama wale wa ccm a.k.a chukua chako mapemaViongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?
Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza?
Trumpism and Putinism theories will take over the world??
Wewe ndio utumie akili kwenye kuleta habari from source zinazoeleweka, maana tunaona mnasemaga hivyo while hakuna sehem yeyote putin amewahi sema hivyoTumia akili tu. Hiyo nayo umeshindwa ku-Google unakuja kuomba source? Ficha Ujinga sometimes
Kwenye vita HUPASWI KUAMINI KAULI YA MMOJA WAPO KATI YA PANDE MBILI,VITA INA MBINU NYINGI IKWEMO NA HIZO KAULI.Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?
Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza?
Trumpism and Putinism theories will take over the world??
Ni bora kukaa kimya hili watu wasijue level ya ujinga wako kuliko kuongea na kufanya watu wajue we ni mjinga , ivyo sina budi kuku certify kama mjinga na poyoyoTumia akili tu. Hiyo nayo umeshindwa ku-Google unakuja kuomba source? Ficha Ujinga sometimes
Hahahahaaa,kuna sehemu thread imemtaja PK au DRC?Ulipogusiwa kuhusu Israel,ukaja juu kuwa ni nje ya mada uliyoweka!Nadhani mlengo wako umeshajulikana!System ni mbovu na viongozi hawana commitment wala strategic plan PK anatumia hiyo kuwasumbua sn
Trump kasema Putin katumia asilimia 20 ya nguvu zakeViongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?
Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza?
Trumpism and Putinism theories will take over the world??
Duuh!Tuliza ball utajua mbivu na mbichi soon,ila dokezo tu,hata huko wapo chawa kama wale wa ccm a.k.a chukua chako mapema
Acheni kufuatilia sana udaku hili nalo ni jambo linahitaji source na vyombo vya habari kimataifa vinatangza ni mitandaoni lipo. Inasikitisha hiki kizazi 😬Wewe ndio utumie akili kwenye kuleta habari from source zinazoeleweka, maana tunaona mnasemaga hivyo while hakuna sehem yeyote putin amewahi sema hivyo
Hahahaa sasa jambo dogo km hilo lipo mtandaoni na hulijui bado unaita wengine poyoyo?? Sometimes kaa tu kimya kificha maradhi ya akili.Ni bora kukaa kimya hili watu wasijue level ya ujinga wako kuliko kuongea na kufanya watu wajue we ni mjinga , ivyo sina budi kuku certify kama mjinga na poyoyo