Putin alikua amekoswa koswa kuuawa mara sita, ndani ya nchi yake

Putin alikua amekoswa koswa kuuawa mara sita, ndani ya nchi yake

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jamaa anaishi maisha magumu sana kama kibaka, anaogopa hadi kivuli chake ndani ya nchi yake pamoja na utajiri wote ule. Anawindwa kuuawa kila siku tena ndani ya nchi yake supapawa ambapo ndiye rais.

Najaribu kuwaza maisha wanayoishi wahudumu wake wakiwemo wapishi, lazima wananyimwa amani sana kwenye maisha yao.

===========

Vladimir Putin is now thought to have survived at least six assassination attempts during his 22 years in charge of Russia.

The most recent is thought to have been carried out at the start of his invasion of Ukraine.

News of the latest attempt emerged yesterday during an interview head of Ukrainian military intelligence Kyrylo Budanov.

He said an attempt had been carried out by ‘representatives of the Caucasus’ – a region including Armenia, Azerbaijan, Georgia and parts of southern Russia.
‘This was not in the public domain. A completely failed attempt but it really did happen about two months ago.’

‘Once again, he was unsuccessful. There is no publicity about this event, but it took place.’
It is not clear who was behind the attack or where it took place, but it is certainly not the first time someone has tried to take the tyrant’s life.
He is now thought to be so paranoid about another attempt that he has surrounded himself with a team of elite snipers who travel everywhere with him.

Their job is to keep an eye out for any rival snipers and take them out before they can pull the trigger.

Earlier during the invasion of Ukraine, Metro.co.uk told how Putin was isolating himself more and more as grew more fearful of being betrayed by his inner circle.

He employs a team of people to taste his food for him in case it is poisoned, while he has the water tested for chemicals several times a day before his morning swim.

With speculation of a coup mounting in Russia, Putin will want to make sure he can trust his security team now more than ever.

In 2017, the dictator told filmmaker Oliver Stone there had been five assassination attempts against him.
 
Miaka 22 majaribio 6,fair enough!Halafu hizo attempt unakuta ni za kipuuzi tu!Yaani nothing serious!
Kwa Putin,hata Ile ya Bush kurushiwa kiatu basi Media za west zingeota nayo ni attemp

Tena kwenye nchi yake ya usupapawa, anaishi kama nguchiru....licha ya mapesa yote na ulinzi wote huo...hahaha hovyo sana, kama mtumwa vile...takbirr
 
Tena kwenye nchi yake ya usupapawa, anaishi kama nguchiru....licha ya mapesa yote na ulinzi wote huo...hahaha hovyo sana, kama mtumwa vile...takbirr
Ulinzi wa Putin sio wa mchezo mchezo!Unasema Putin yupo anayeishi kama Nguchiro?Huyu anayeenda vacation kuvua samaki,kuendesha farasi na kula upepo mwanana akiwa kifua wazi mpaka Boris anampinga dongo kuwa Rais gani anakaa kifua wazi🤣🤣🤣
 
Ni maisha magumu sana hayo kuishi kama nguchiru kwa ndani ya nchi yako watu ako ardhi yako ambapo wewe ni rais na usupapawa wote huo, jamaa hapendi hata kukaribiwa....majaribio saba ya kuuawa ndani ya nchi yako kwa watu wako sio mchezo.
 
Jamaa anaishi maisha magumu sana kama kibaka, anaogopa hadi kivuli chake ndani ya nchi yake pamoja na utajiri wote ule.... Anawindwa kuuawa kila siku tena ndani ya nchi yake supapawa ambapo ndiye rais.....
Kuna mtabiri mmoja alifariki miaka michache iliyopita, anaitwa Kim Clement, alikuwa kazaliwa South Africa na akahamia Marekani, alitabiri vita ya Russia na Ukraine. Alisema Ukraine itashinda vita, na Putin atauwawa katika nchi yake mwenyewe. Naona kama haya yanaelekea kutokea.
 
Ni maisha magumu sana hayo kuishi kama nguchiru kwa ndani ya nchi yako watu ako ardhi yako ambapo wewe ni rais na usupapawa wote huo, jamaa hapendi hata kukaribiwa....majaribio saba ya kuuawa ndani ya nchi yako kwa watu wako sio mchezo.
Majaribio hayo ni irrelevant maana hakuna hata Moja lililoshtua!Nyerere mwenyewe alijaribiwa mara kibao tu!Kama hata tairi la gari kupasuka ambalo hajapanda Rais(kama ni kweli) nalo ni jaribio,basi Huo ni uendawazimu!
Putin angeanguka kama Biden kwenye baiskeli,wangeita nalo ni jaribio la kuuwawa!🤣🤣
 
Wanatishia, au risasi zinageuka mma,

Wakikupania hawakukosi bana, hiyo danganya Marekani na washirika wake.
 
Majaribio hayo ni irrelevant maana hakuna hata Moja lililoshtua!Nyerere mwenyewe alijaribiwa mara kibao tu!Kama hata tairi la gari kupasuka ambalo hajapanda Rais(kama ni kweli) nalo ni jaribio,basi Huo ni uendawazimu!
Putin angeanguka kama Biden kwenye baiskeli,wangeita nalo ni jaribio la kuuwawa!🤣🤣

Yangekua irrelevant asingekua anaishi kama nguchiro, anajua anawindwa ndani ya nchi yake.
Sasa hivi Urusi kuuawa ni rahisi sana Video: Mamluki wa Putin apokea kichapo na wanajeshi wa Urusi hotelini
 
Wewe utakuwa na shida!Una uwezo mkubwa wa kujitoa ufahamu!Siku njema

Nilishakuambia Waarabu asili kule Quora wamenishindwa, sembuse nyie hapo Bongo na makanzu yenu.....
Nitawavuruga sana humu....hahahaha
 
Nilishakuambia Waarabu asili kule Quora wamenishindwa, sembuse nyie hapo Bongo na makanzu yenu.....
Nitawavuruga sana humu....hahahaha
Hizo pumba zako hata sielewi una maana gani
 
Hizi ni Propaganda za Media za Magharibi.
Tena media yenyewe ni Metro ya UK!
 
Huyo mbona ana shida hivyo, yaani mtu yuko kifungoni kabisa sasa faida yake nini hata tumbo likipata mchafuko tu anaweza kufa kwa presha. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom