Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

China ilikuwa imeishaipuku Ulaya katika biashara ya magari miaka mingi hata kabla uvamizi wa Urusi kwa Ukraine haujaanza, tujitahidi kupunguza propoganda kwa mambo yaliyo wazi kabisa.
 
Wewe ni mweupe, hujafuatilia, USA, UK, Poland walianza mwanzoni kuingiza askari wao, baadae nchi zingine zipatazo 37 wakafiatia wakipeleka askari wao nchini Iraq ikiwamo Canada ..

Sasa nakuuliza US iliishiwa askari hadi hizo nchi zingine 37 kupeleka troops?

Acheni ushabiki wa kipuuzi....
 
 
China ilikuwa imeishaipuku Ulaya katika biashara ya magari miaka mingi hata kabla uvamizi wa Urusi kwa Ukraine haujaanza, tujitahidi kupunguza propoganda kwa mambo yaliyo wazi kabisa.
Mzee siajelezea nani anaongoza kwa production ya magari Ulaya, nimeeleza jinsi biashara ya magari imeanguka Ulaya kwa sababu ya vita inayoendelea.

Gas ya Russia, raw materials na components za kutengeneza hayo magari Russia ilisaidia pakubwa...

Viwanda vingi vimeshindwa kupambana na China, bora mwanzoni waliweza kupambana lakini hivi sasa hali imekuwa mbaya zaidi baada ya mbabe Russia kuingia vitani na kumpiga sanctions, ndio maana wengine wana stop production na China inajazia nafasi zilizo wazi kwa kasi....

Hali inatisha Ulaya, wanapiga mtu sanctions kumbe wanajimaliza, ndio maana li Trump lina akili, limejua kupambana na Russia ni kujimaliza, Russia ni kama maji, usipoyaoga utayanywa...
 
Nyie watu akili zenu cjui vipi kwa hio mnataka aoneshe roho mbaya ili muendelee kumuita dictator?
 
Zitaje hizo nchi 37, acha ushabiki wa kipuuzi, Urusi kazidiwa hamtaki kukubali
 
Yeah anasasitiza Vita iishe kwa sababu ashapata advantage tayari. Anashikiria 27% ya eneo la Ukrain. Eneo hili pia ni eneo lenye rasilimali nyingi mno. So, Jamaa ana akili kubwa anajifanya neutral lkn mkienda mezani mashart yake yako wazi.
 
Umejaza usaha kichwani...kula chakula bora uboreshe hizo manii usije zaa mtoto taahira tena.
 
Haya masentensi yote, hamna kituo hata kimoja? Kweli NATO mmevurugwa nyie.

Umeona takwimu za GDP lakini? Je, Urusi iko namba ngapi? Kwa nini nchi za Ulaya hali imekuwa mbaya zaidi katika ya vita vya Ukreni kuliko ilivyotegemewa?

Nimekuuliza, iwapo kweli Urusi inadhoofika, kwa nini Wamarekani wanapenda vita vifikie tamati? Umemsikia rais wako ajaye Trump lakini? Ongea kwa takwimu, weka pembeni mahaba upofu, nadharia, hisia na makisio.
 
Zitaje hizo nchi 37, acha ushabiki wa kipuuzi, Urusi kazidiwa hamtaki kukubali
Umeanza hadi kubishana na vyanzo vya kuaminika.
Sasa nikuambie yalikua mataifa 48 ikiwemo USA baada ya Cista Rica kutoka,

List hii.
participated in the US-led coalition: Afghanistan, Albania, Australia, Azerbaijan, Bulgaria, Colombia, the Czech Republic, Denmark, El Salvador, Eritrea, Estonia, Ethiopia, Georgia, Hungary, Iceland, Italy, Japan, South Korea, Latvia, Lithuania, Macedonia, the Netherlands, Nicaragua, the Philippines, Poland, Romania, Slovakia, Spain, Turkey, the United Kingdom na Uzbekistan.

Baadae nchi zingine zikajiunga zikiwemo..
additions: Costa Rica, the Dominican Republic, Honduras, Kuwait, the Marshall Islands, Micronesia, Mongolia, Palau, Portugal, Rwanda, Singapore, Solomon Islands, Uganda, Panama

Baadae zikaingia Ukraine na Angola ...

Sasa hapo nikuulize je USA alizidiwa na Iraq na akaomba msaada? Au aliishiwa askari...?

Naomba unijibu tafadhali.
 
Nyie watu akili zenu cjui vipi kwa hio mnataka aoneshe roho mbaya ili muendelee kumuita dictator?
Cjui maana yake nini? Nyie madogo division 5 uandishi wenu kichefuchefu sana.😁
 
Hapo anajaribu kuinfluence uchaguzi wa marekani in favour of trump.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…