Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

Umeanza hadi kubishana na vyanzo vya kuaminika.
Sasa nikuambie yalikua mataifa 48 ikiwemo USA baada ya Cista Rica kutoka,

List hii.
participated in the US-led coalition: Afghanistan, Albania, Australia, Azerbaijan, Bulgaria, Colombia, the Czech Republic, Denmark, El Salvador, Eritrea, Estonia, Ethiopia, Georgia, Hungary, Iceland, Italy, Japan, South Korea, Latvia, Lithuania, Macedonia, the Netherlands, Nicaragua, the Philippines, Poland, Romania, Slovakia, Spain, Turkey, the United Kingdom na Uzbekistan.

Baadae nchi zingine zikajiunga zikiwemo..
additions: Costa Rica, the Dominican Republic, Honduras, Kuwait, the Marshall Islands, Micronesia, Mongolia, Palau, Portugal, Rwanda, Singapore, Solomon Islands, Uganda, Panama

Baadae zikaingia Ukraine na Angola ...

Sasa hapo nikuulize je USA alizidiwa na Iraq na akaomba msaada? Au aliishiwa askari...?

Naomba unijibu tafadhali.
Wewe ni mpuuzi, nimekwmbia nitajie hizo nchi 37 zinazoisaidia Ukraine, kwahyo hadi Eritrea inaisaidia Ukraine sio?
 
Nilichogundua humu, wengi wanaoegemea upande wa nchi za Magharibi ni weupe kichwani na hoja za maana hawana zaidi ya matusi na kuzungumzia udini...

Kiukweli ukisoma maoni kuhusu wadau wanaoegemea upande wa Russia wanatoa hoja za kueleweka na wanaonekana wana uelewa sana katika uchambuzi wa siasa za kimataifa.

Mtu hajui kitu anakomaa kubisha tu...
 
Wewe ni mpuuzi, nimekwmbia nitajie hizo nchi 37 zinazoisaidia Ukraine, kwahyo hadi Eritrea inaisaidia Ukraine sio?
We nae utakuwa umelewa....
Nani alikuambia Ukraine Ukraine anasaidiwa na nchi 37?

Nilisema Russia anapambana na nchi 32 za NATO, au huelewi NATO ni umoja wa nchi 32?

Rudi kasome tena, nlikuambia Iraq ilivamiwa na nchi zingine 37 baada ya USA, UK, Poland na Australia, halafu zikafuatia nchi zingine tena hadi zikatimia nchi 48 jumla...

Sasa usikimbie swali, narudia tena, je USA alizidiwa na Iraq hadi hizo nchi zingine kuingia na kutuma vikosi Iraq?
 
Yeah anasasitiza Vita iishe kwa sababu ashapata advantage tayari. Anashikiria 27% ya eneo la Ukrain. Eneo hili pia ni eneo lenye rasilimali nyingi mno. So, Jamaa ana akili kubwa anajifanya neutral lkn mkienda mezani mashart yake yako wazi.
Mimi nashangaa wanaodhani Russia amekuwa mwoga kwa kuitaka amani na Ukreni. Lakini wanasahau kwamba huo ndio ulikuwa msimamo wake hata kabla hawajaivamia Ukrene.

Isingekuwa Boris Johnson kumjaza upepo Zelensky na kumwahidi ushindi wa mapema kwa njia ya bao la mkono, leo hii dunia haingekuwa na adha kubwa kiasi hicho kutokana na athari za vita hivi.

Maelfu ya watu wasio na hatia wamekufa. Tusisahau hilo kamwe.
 
We nae utakuwa umelewa....
Nani alikuambia Ukraine Ukraine anasaidiwa na nchi 37?

Nilisema Russia anapambana na nchi 32 za NATO, au huelewi NATO ni umoja wa nchi 32?

Rudi kasome tena, nlikuambia Iraq ilivamiwa na nchi zingine 37 baada ya USA, UK, Poland na Australia, halafu zikafuatia nchi zingine tena hadi zikatimia nchi 48 jumla...

Sasa usikimbie swali, narudia tena, je USA alizidiwa na Iraq hadi hizo nchi zingine kuingia na kutuma vikosi Iraq?
Huo ushahidi wa nchi 32 ndio tunautaka, usijifiche kwenye kichaka cha iraq
 
Hivi wakuu mnamuongelea putini yule jamaa alikuwaga namba sita ya Simba inacheza rafu sana Ile jamaa, sadio kanoute, wakuu nawaelewa sana
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema uhusiano kati ya nchi yake na Marekani baada ya uchaguzi wa rais wa Marekani utategemea mtazamo wa nchi hiyo, huku akiyapongeza maoni ya Donald Trump kuhusu nia yake ya kuumaliza mzozo wa Urusi na Ukraine. Putin ameyasema hayo wakati mzozo kati ya nchi yake na Ukraine ukizidi kufukuta.

Soma Pia: Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Nadhani huyu mbabe amejifunza kitu. kwa sasa hasemi tena operation. Anasema ni vita. mara ya kwanza alisema anaenda Ukraine kufanya operation. kama kutumbua tu chunusi. sasa chunusi imekuwa kijipu uchungu. amechoka.
Yericko Nyerere anasemaje?
 
Mimi nashangaa wanaodhani Russia amekuwa mwoga kwa kuitaka amani na Ukreni. Lakini wanasahau kwamba huo ndio ulikuwa msimamo wake hata kabla hawajaivamia Ukrene.

Isingekuwa Boris Johnson kumjaza upepo Zelensky na kumwahidi ushindi wa mapema kwa njia ya bao la mkono, leo hii dunia haingekuwa na adha kubwa kiasi hicho kutokana na athari za vita hivi.

Maelfu ya watu wasio na hatia wamekufa. Tusisahau hilo kamwe.
Russia hata akisimama vita leo, tayari kafanikiwa mission yake...
Kachukua sehemu kubwa ya Ukraine, Zelensky alisema moja ya mbinu ya ushindi wanayotaka kuitumia dhidi ya Russia ni pamoja na kuiunganisha Ukraine na NATO...

Sasa Russia hizo sio shida zake tena kwa sasa as kong as tayari kachukua ardhi ya kutosha uchaguzi utakuwa juu ya Ukraine either akajiunge NATO au arudishe ardhi yake iliyomegwa.

Ukraine ninaamini ataomba kipande chabardhi yake, hii vita mwisho unajulikana utakuwa Russia kuondoka na kipande cha Ukraine...

Sasa nashangaa humu nyumbu wanavyopiga kelele kusema Putin kashindwa vita ..

Na hilo jeshi la Korea linaloingia ni kwenda kufanya usafi na kufagia takataka zote kuelekea uchaguzi wa USA ambapo tunaweza kushuhudia negotiations kati ya Russia na Ukraine...

Hao askari waliopo Russia wataondoka tu wenyewe...

Russia sio Libya...
Viongozi wengi wa West wanajuta sasa, kwa maana hakuna walichofanya..
 
Huo ushahidi wa nchi 32 ndio tunautaka, usijifiche kwenye kichaka cha iraq
Hujanijibu swali langu kwanza, nchi mi nitakutajia...

Nimekuuliza US kuingia na zile nchi zote Iraq ni kwa sababu alikuwa amezidiwa, alikuwa kaishiwa askari? Au alimuogopa Iraq?

Ndio maana nikasema kama huna jawabu kaa kimya, kama hoja huna kaa kimya, sasa baada ya maswali magumu umeanza kuongea pumba za mahindi...
 
Iraq ilivamiwa kwa azimio la umoja wa mataifa, marekani ilienda na nchi washirika, ni tofauti na Urusi inavyopigana na Ukraine alienda peke yake na ameishiwa wanajeshi akaomba msaada kwa north Korea sasa utalinganisha na USA, ebu sema lini USA aliishiwa wanajeshi akaomba msaada wa wanajeshi?
 
Mama yangu 😂😂
Ndio maana nasema kama hujui kitu ni bora ukae kimya...

Wengi wenu ni weupe mnabisha na hamjui chochote...

UN haikuhusika na uvamizi nchini Iraq, US ndiye aliongoza hio operation wakiita jina la operation Iraq freedom, tena US akitumia azimio la baraza la umoja wa mataifa namba 678 kuidhinisha uvamizi huo ambao hata katibu mkuu umoja wa mataifa Kofi Annan alisema uvamizi huo haukuwa halali....

Mkuu fuatilia vitu...
 
Russia hata ikisimama leo vita wamefanukiwa pakubwa kwenye kile walisema kuipunguza nguvu kijeshi Ukraine.

Hata hivyo narudia tena kusema, Russia ikiishambulia Ukraine kama Israel inachofanya Gaza kutokujali uhai wa raia Zelensky hivi sasa angekuwa anaishi Washington DC na familia yake kama wakimbizi wa kivita na kisiasa.

NATO uoga umewaingia kufahamu kwamba Russia ina uwezo kiasi hiko, misaada, askari intel n.k lakini bado hawajaidhoofisha Russia kama walivyodhani.

Nchi moja inapambana na nchi 32, si mchezo.
We upo dunia ipi?
 
hoja mchungu lakini haina budi kuwa hivyo.
 
Uchumi wa Russia umeporomaka kiasi gani? Je, raia wake wameathirikaje hadi sasa ikilinganishwa na nchi ya Ukreni na zingine za Ulaya?

Kwa nini Donald Trump naye anatamani sana amalize vita hata kesho asubuhi, kama siyo kwamba dola na rasilimali zao zinateketea bure?

Unapoandika taarifa, jaribu kuwa mkweli. Ukiongopa, unajidanganya wewe mwenyewe tu.
Kinachokufanya uamini US na washirika wape wameshuka kiuchumi kutokana na kuathirika vita nchini Ukraine ni uhuru wa vyombo vya habari kwao.

Ikiwa tajiri kama US, UK, German, France n.k wametikisika basi Russia inaweza ikawa mara 7 yake.

Russia Putin alipiga stop chombo chochote cha habari kuripoti hiyo vita pasipo ridhaa ya serikali yake.
 
Siyo

SIyo kweli. Tatizo ni Putin. Alichukua Cremia, eneo la Ukraine. Kama ilivyo kawaida ya shetani, huwa hatosheki wala kuridhika, akatengeneza makundi mamluki mashariki mwa Ukraine, yakaanzisha mapigano dhidi ya serikali, yakidai yanataka kujitenga na Ukraine ili yajiunge na Urusi. Makundi haya yakawa yanapewa pesa na silaha na Urusi, kama inavyofanya Iran. Alivyoona makundi mamluki yake hayafanikiwi, akaamua kuingia mwenyewe mzima mzima akidai kuwa eti anaenda kuyalinda makundi yake, huku mpango wake wa kwanza ukiwa kumwua Rais wa Ukraine. Alipanga kuimaliza Ukraine kwa siku 3. Mambo yalipokosa kwenda kama alivyotaka, akasema yupo tayari kusitisha vita kwa sharti moja kuu: maeneo yote aliyoyateka yawe mali ya Urusi!! Sasa mtu wa hivyo unaweza kuhadaika kuwa ana dhamira ya kumaliza vita?

Putin ni miongoni mwa mashetani machache yaliyopo yanayoitesa Dunia. Siku Putin akiondoka itakuwa ni shangwe ya Urusi na Dunia nzima.
Kuna Putin, Utawala wa Iran na North Korea.

Mwenzao China alishastaarabika.
 
Hajui hata kama Ukraine haruhusiwi kupiga ndani ya Urusi kwa kutumia silaha anazopewa
Halafu mtu anasema eti NATO haiwezi kumuangusha Russia. Ukraine tu asiyekuwa na nguvu ya Jeshi la anga, Navy na anaipasua Russia ndani ya ardhi yake.
 
Back
Top Bottom