Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

Hii imethibitisha kwamba Urusi bado ni developing country.

Civil unrest ni ishara ya udhaifu mkubwa na hasa hutokea kwenye nchi zinazoendelea ama ambazo bado haziko stable.

Uasi wa jeshi ni udhaifu mkubwa sana umeionyesha Urusi ilivyo.
 
Tatizo Putin na genge lake kina Shougi walichukulia poa sana kuivamia Ukraine. Eti walituma intelijensia kabla ya vita na kumdharau comedian zelensky ni kama mlevi ukimsukuma.

Kingine kilichomuongezea Putin kiburi ni magharibi kumsihi na kumuomba asimvamie Ukraine pale kina macron na viongozi wengine walivyomtembelea Kremlin na kutenganishwa naye na meza kubwa ndefu.

Majeshi ya urusi yalipoivamia rasmi Ukraine kuna mkwara mbuzi Putin alitoa yeyote atakayeingilia hii vita kitu kitaka homtokea hakitasahalika kwenye history.
 
Vyo vyote itakavyokuwa - ashinde ama asishinde vita hii - heshima ya Urusi kama super power imeshachakazika. Na yeye mwenyewe kama macho man bingwa la intelligence jasusi bobevu la KGB lenye mkanda mweusi wa martial arts ni kwishney. Sijui ni intelligence gani iliyomwaminisha kwamba itamchukua wiki 2 tu kuingia Kyiv na kumaliza mchezo. Bure kabisa hili jamaa. Waliue tu dunia itulie!
 
Back
Top Bottom