Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

Tumeona propaganda za Magharibi zinavyojitahidi lakini tunawaambia Urusi hamuiwezi. Hamuiwezi kabisa. Tena mkae kwa kutulia. Mtachapwa sana. Ndo mjue hilo ni Taifa kubwa na China.

Mataifa ya Magharibi nayachukia sana. Tena sana. Hayafai kabisa kuwepo Duniani. Yericko Nyerere njoo uendelee mimi nina hasira sana.
Pole sana mkuu, kunywa maji mengi kwanza!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nakazia tena na tena " achaneni kabisa na binadamu Marehemu JkNyerere aliyemuita Mwamerika!!!!" Ni kiumbe hatari mno ila wajinga hawajui
Huyo mwamerika aliye shindwa kuuangusha utawala wa Ayatullah miaka zaidi ya 40 ndo aje kuipindua serikali ya Urusi.
Huyo jamaa atadhibitiwa tu kama walivyo dhibitiwa wahuni walio anzisha uasi mwezi mmoja uliyo pita.
 
Sijui mpango wa prizoo ila nachijua CIA tokea zamani wanawaza jinsi ya kuivunja russia vipande vipande, alafu kwenye hivyo vipande waweke viongoz ambao ni mamluki wao. Sema Ukraine lilikuwa pandee kubwa sana lililokuwa wameshafanikiwa kuweka zele wao kitu kilichomuuma sana Putini.
 
Back
Top Bottom