Unachanganya historia na uhalisia , Urusi amekuwa anakaribishwa kwenye kila shughuli za mataifa ya magharib kumfanya awe rafiki ila Putin ni yule mtoto kiburi yaana hatak kukaa kwenye nafasi yake anataka aonekane yupo juu sawa na kaka mkubwa , na matatizo yameanzia hapaSijui mpango wa prizoo ila nachijua CIA tokea zamani wanawaza jinsi ya kuivunja russia vipande vipande, alafu kwenye hivyo vipande waweke viongoz ambao ni mamluki wao. Sema Ukraine lilikuwa pandee kubwa sana lililokuwa wameshafanikiwa kuweka zele wao kitu kilichomuuma sana Putini.