Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

Wekeni akiba ya maneno, hao Jamaa watazimwa hamtana amini. Muda utaongea
Unajua ishu sio hao jamaa kuzimwa, ishu ni haya majaribio kutoka kwa wenzenu yenye hadhi ya kutangaza hali ya hatari mkiwa na mgogoro na nchi nyingine.

Imagine una ugomvi na jirani halafu mwanao anaazisha ugomvi na wewe mkiwa hamjamalizana na jirani. Si salama kwa familia.
 
Hao ni kitu kimoja hawawezi kurushiana risasi..mark my words
 
Voronezh ambapo ni masaa6 tu kufika moscow kwa gari

kuna oil depot ina teketea

ndege/helicopters za jeshi la urusi zisha geuzwa majivu

Moscow your next
Prog is coming for you MFKssssss
 
Vyo vyote itakavyokuwa - ashinde ama asishinde vita hii - heshima ya Urusi kama super power imeshachakazika. Na yeye mwenyewe kama macho man bingwa la intelligence jasusi bobevu la KGB lenye mkanda mweusi wa martial arts ni kwishney. Sijui ni intelligence gani iliyomwaminisha kwamba itamchukua wiki 2 tu kuingia Kyiv na kumaliza mchezo. Bure kabisa hili jamaa. Waliue tu dunia itulie!
Nyuma ya Putin, hakuna ma hardliners wakutosha kweli?
 
Hao ni kitu kimoja hawawezi kurushiana risasi..mark my words
unasubir updates JF unasema hawa wez rushiana risasi mzee una aibisha emb ingia mtandaoni uone putin leo alivo wekwa uchi na kakikundi kake ka mgambo
 
Hatari,hapa mkuu wa majeshi yupo against Prigo .Mkuu wa ulinzi na Prigo wote ni marafiki wa Putin.Sasa hapa Putin atasimama na nani?

prigo sio mwanajeshi.ni.mpishi hata wapiganaji wake hivyo.hakuna.hatari yoyote kule Ukraine. walikuwa.wanapewa.air cover.ndio walikuwawasonga.mbele
 
Attachments

  • bb1a6a31-df03-4e5f-aa45-fc70dee5f062.jpg
    bb1a6a31-df03-4e5f-aa45-fc70dee5f062.jpg
    16.2 KB · Views: 1
Ni mjinga tu anayedhani putin anagusika
Mkuu acha papara Rostove ni moja kati miji na kuliko na site ya kijeshi ndani ya russia, leo ipo chini ya Wagner, nyinyi ndio mlioambiwa Russia ni superpower ikawa hamuingii chochote katika masikio yenu sasa haya yanayoendelea kutokea macho yenu hayaamini, mnajipa matumaini mkitumai Mrusi atapindua meza, Lakini elewa taifa la Urusi chini ya Putin ndio inaenda zake tena
 
prigo sio mwanajeshi.ni.mpishi hata wapiganaji wake hivyo.hakuna.hatari yoyote kule Ukraine. walikuwa.wanapewa.air cover.ndio walikuwawasonga.mbele
Alikuwa mpishi zamani,sasa anamiliki majeshi,hata yeye ana mafunzo ya kijeshi. Anamiliki vifaru,Ndege na silaha za kijeshi. Tuone Muda utaongea.
 
BREAKING:

Prigozhin releases a new statement saying that Russia is corrupt because of Putin and that:

“we will destroy everything around us, we are all ready to die - all 25 thousand, and then another 25 thousand, because the Russian people must be liberated”
 
Duuh maskini Putini sijui ataenda North Korea ama South Africa?
 
Eneo la kijeshi Rostove lipo chini ya Wagner nacheki Aljazeera apa live wahuni wa Wagener wanaranda randa huku wakionyesha bendera yao ndao ya urusi., mzaha mzaha sasa usaha ushatumbuka mtu apigwa ngombewe
Rostov ndiyo main ya Urusi kwenye vita ya Ukraine, ndege zote hutokea hapo kwenda Ukraine, silaha pia hutokea hapo.

Na hicho ndio kimewapa kiburi Wagner kwamba hawataishiwa silaha
 
Voronezh ambapo ni masaa6 tu kufika moscow kwa gari

kuna oil depot ina teketea

ndege/helicopters za jeshi la urusi zisha geuzwa majivu

Moscow your next
Prog is coming for you MFKssssss
Hiyo refinery imelipuliwa na Urusi ili Wagner wasiishike na kuwa na uhakika wa mafuta
 
Back
Top Bottom