Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

Hatari,hapa mkuu wa majeshi yupo against Prigo .Mkuu wa ulinzi na Prigo wote ni marafiki wa Putin.Sasa hapa Putin atasimama na nani?
Putin keshachagua kumtoa kafara Prigozhin pale alipotangaza kuwa wanajeshi wote wakujitolea na kulipwa lazima wasajiliwe kuwa wanajeshi kamili wa MoD
 
BREAKING:

Prigozhin releases a new statement saying that Russia is corrupt because of Putin and that:

“we will destroy everything around us, we are all ready to die - all 25 thousand, and then another 25 thousand, because the Russian people must be liberated”
Labda hiyo ndio iwe nafasi ya majeshi ya Ukraine kuingia Urusi kupitia Rostov.

Ila atasambaratishwa

Kwan Chechnya ilikuaje ??.
 
Putin keshachagua kumtoa kafara Prigozhin pale alipotangaza kuwa wanajeshi wote wakujitolea na kulipwa lazima wasajiliwe kuwa wanajeshi kamili wa MoD
Hivi vikundi vya kijeshi binafsi, marekan wanavyo vingi, ila wao wamehakikisha PENTAGON imedhibiti.

Huyu Muasi wa Urusi, hakupaswa kuachwa kujiinua sana.

Sasa Wamekuja kushtuka baadae, ndo wakamtaka awe chini ya Jeshi .

Ila atakipata tu , Sahizi NATO najua wataanza kuingiza silaha Rostov kupitia Ukraine
 
PMC !!!! .

Jamaa amekua shetan, baada ya kujiiinuaaa na kujiona yuko juu zaidi ya Jeshi.

Hatotoboa !!
Mkuu vita ni biashara...huenda Prig kapewa dau ndefu na nato.
Ni tmrahisi yeye kukimbia na kupewa hifadhi na nato, huku Putin akiachiwa migogoro ya ndani
 
Nakazia tena na tena " achaneni kabisa na binadamu Marehemu JkNyerere aliyemuita Mwamerika!!!!" Ni kiumbe hatari mno ila wajinga hawajui
Hakutaka wasogelee jwtz hata nukta moja! Hata ushirikiano alikuwa anaogopa.
 
Hivi vikundi vya kijeshi binafsi, marekan wanavyo vingi, ila wao wamehakikisha PENTAGON imedhibiti.

Huyu Muasi wa Urusi, hakupaswa kuachwa kujiinua sana.

Sasa Wamekuja kushtuka baadae, ndo wakamtaka awe chini ya Jeshi .

Ila atakipata tu , Sahizi NATO najua wataanza kuingiza silaha Rostov kupitia Ukraine
Academia ndio Contractor pekee Marekani

Zamani aliitwa Blackwater, akaja Academia kwa sasa kabadilisha jina tena
 
⚡️ Prigozhin accepted proposal to stop the movement of Wagner PMCs in Russia and take further steps to de-escalate tensions after President of Belarus Alexander Lukashenko, in agreement with the president of Russia, held talks with Prigozhin, the press service of the Belarusian president said.
 
Ila huyu jamaa sio wa kumuamini na mwenzake Putin unaweza Kuta Kuna chezo linachezwa hapo dhidi ya Ukraine na ndugu zake.
Ukraine wa kumchezea michezo mpk ya kuteka kambi yako ? PUTIN hana rafiki ila Putin ana akili sana kucheza na dunia ila kwenye hili sina imani kbs
 
Tumeona propaganda za Magharibi zinavyojitahidi lakini tunawaambia Urusi hamuiwezi. Hamuiwezi kabisa. Tena mkae kwa kutulia. Mtachapwa sana. Ndo mjue hilo ni Taifa kubwa na China.

Mataifa ya Magharibi nayachukia sana. Tena sana. Hayafai kabisa kuwepo Duniani. Yericko Nyerere njoo uendelee mimi nina hasira sana.
Hahaaa unamuachia Yericko sio ?
 
Huyo mwamerika aliye shindwa kuuangusha utawala wa Ayatullah miaka zaidi ya 40 ndo aje kuipindua serikali ya Urusi.
Huyo jamaa atadhibitiwa tu kama walivyo dhibitiwa wahuni walio anzisha uasi mwezi mmoja uliyo pita.
Siamin kama Ayotollah sio mpango wa hao hao USA
 
Back
Top Bottom