Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Hahaha... mtutafsirie anachosema dikteta mjinga asiye na akili.
Tayari Wagner wameteka kambi kusini mwa urusi na commender kukimbia. Mkuu wa wagner kasema safari ya kumarch hadi moscow imeanza. CIA ni hatariiii.Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner.
... awachape nuklia amalize mchezo! Hilo zee pumbavu sana.naaam wagner wame geuza kibao kipigo kimetoka Rostov kina elekea kremlin
... alivyo mjinga hakujua Wagner walikuwa mafunzoni Ukraine. Wamewiva sasa wanaelekea kukamilisha mission iliyopangwa for decades.Tayari Wagner wameteka kambi kusini mwa urusi na commender kukimbia. Mkuu wa wagner kasema safari ya kumar h hadi moscow imeanza. CIA ni hatariiii.
Vyo vyote itakavyokuwa - ashinde ama asishinde vita hii - heshima ya Urusi kama super power imeshachakazika. Na yeye mwenyewe kama macho man bingwa la intelligence jasusi bobevu la KGB lenye mkanda mweusi wa martial arts ni kwishney. Sijui ni intelligence gani iliyomwaminisha kwamba itamchukua wiki 2 tu kuingia Kyiv na kumaliza mchezo. Bure kabisa hili jamaa. Waliue tu dunia itulie!Tatizo Putin na genge lake kina Shougi walichukulia poa sana kuivamia Ukraine. Eti walituma intelijensia kabla ya vita na kumdharau comedian zelensky ni kama mlevi ukimsukuma.
Kingine kilichomuongezea Putin kiburi ni magharibi kumsihi na kumuomba asimvamie Ukraine pale kina macron na viongozi wengine walivyomtembelea Kremlin na kutenganishwa naye na meza kubwa ndefu.
Majeshi ya urusi yalipoivamia rasmi Ukraine kuna mkwara mbuzi Putin alitoa yeyote atakayeingilia hii vita kitu kitaka homtokea hakitasahalika kwenye history.
Nazidi kujazia pia!Nakazia tena na tena " achaneni kabisa na binadamu Marehemu JkNyerere aliyemuita Mwamerika!!!!" Ni kiumbe hatari mno ila wajinga hawajui