Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

Unachanganya historia na uhalisia , Urusi amekuwa anakaribishwa kwenye kila shughuli za mataifa ya magharib kumfanya awe rafiki ila Putin ni yule mtoto kiburi yaana hatak kukaa kwenye nafasi yake anataka aonekane yupo juu sawa na kaka mkubwa , na matatizo yameanzia hapa
 
Wekeni akiba ya maneno, hao Jamaa watazimwa hamtana amini. Muda utaongea
Ndio maaa wazungu wanatutawala huwa hatuwaz nje ya box , malengo ya hao jamaa ni kuonesha kuwa uasi uanezekana so hata wakishindwa wanafungua njia kwa wengine , walianza wale jamaa wakashindwa then wagner hatui baadae utasikia chen chen and so on , Urusi inadhoofika
 
Labda hiyo ndio iwe nafasi ya majeshi ya Ukraine kuingia Urusi kupitia Rostov.


Ila atasambaratishwa

Kwan Chechnya ilikuaje ??.
Unapoandika jifunz kulinganisha , chenyia sio sawa na Ukraine ya sasa , ukraine ya sasa kiubora ni zaid ya majeshi makubwa ya ulaya , Ukraine ina kila silaha za kila nchi ya ulaya
 
Huna akili kichwa chako nimzigo kwashingo
 
Ila si Urusi aliyataka mwenyew USA anajitahid kuish vzr na majiran zake ili wasiwe uchochoro wa maadui zake , simple logic ila Putin mara Moldova , mara Ukraine , Mara Korean wars , mara Georgia mara Finland yaan kila kona anachochea mafuta tu
 
Ukraine wa kumchezea michezo mpk ya kuteka kambi yako ? PUTIN hana rafiki ila Putin ana akili sana kucheza na dunia ila kwenye hili sina imani kbs
Hili jamaa pumbavu sana halina maisha marefu Putin atalikata kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…