Putin anaonya nchi za Magharibi: Urusi itaibuka kama taifa lenye nguvu zaidi

Putin anaonya nchi za Magharibi: Urusi itaibuka kama taifa lenye nguvu zaidi

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema mwisho wa siku Urusi hatimaye itaibuka na nguvu na uhuru zaidi baada ya kukabiliana na matatizo yaliyosababishwa na kile alichokiita vikwazo haramu vya nchi za Magharibi.

Putin alisema hakujawa na mbadala wa kile Urusi inachokiita operesheni yake maalum ya kijeshi nchini Ukraine na kwamba Urusi sio nchi ambayo inaweza kukubali kuathiri uhuru wake kwa aina fulani ya faida za kiuchumi za muda mfupi.

Chanzo: Reuters

LONDON, March 10 (Reuters) - Russian President Vladimir Putin said on Thursday that Russia would ultimately emerge stronger and more independent after overcoming the difficulties caused by what he called the West's illegitimate sanctions.

Putin said there had been no alternative to what Russia calls its special military operation in Ukraine and that Russia was not a country which could accept compromising its sovereignty for some sort of short-term economic gain.

"These sanctions would have been imposed in any case," Putin told a meeting of the Russian government. "There are some questions, problems and difficulties but in the past we have overcome them and we will overcome them."

==========

Source: Reuters

Screenshot_2022-03-11-07-46-31-174_com.android.browser.jpeg

Kwa sasa urusi itaanza kufanya vitu bila mipaka tutarajie teknoliajia kubwa kutoka kwa hawa mabwana tutalajie mapinduzi makubwa sana. Ila anguko la marekani naona lipo karibu. Leo hii marekan inaipigia magoti venezuela? Mpaka nimechoka
 
Hakuna kitu kama hicho. Kwanza kabisa.. Russia kwa sasa hana uchumi tena.. umeshaporomoka..
Watu wa JF munajitahid kuzungumzia uchumi lakin hamna kitu ,wengi wa humu wanadhani uchumi ni thamani ya pesa tu. Utakuta mtu anasema Uchumi wa Russia hamna kitu au wa Iran hamna kitu hata hawaz hivyo vikwazo vilikuwepo toka mwaka gani na kufatilia maendeleo ya hizo nchi kwa sasa zilipo.

Mfano mdogo Iran toka wafanye mapinduzi kumtoa kibaraka wa marekan mpaka wanadumu na vikwazo lakin Muiran huyo huyo kapeleka mafuta kwa Maduro meli 3 baada ya marekan kuiwekea vikwazo Venezuela na hamna alichomfanya unadhan bira ya kua na power unaweza fanya hivi mbele ya Marekani hebu mda mwengine tujaribu japo kulinganisha nchi yetu isiewekewa vikwazo na inayopewa misaada yote na hizo nchi zilizowekewa vikwazo je tunazikaribia kwa uchumi ,labda hapo mtu utaweza kuandika point inayoeleweka kidogo.
 
Putin alisema hakujawa na mbadala wa kile Urusi inachokiita operesheni yake maalum ya kijeshi nchini Ukraine na kwamba Urusi sio nchi ambayo inaweza kukubali kuathiri uhuru wake kwa aina fulani ya faida za kiuchumi za muda mfupi.
 
Kwa sasa urusi itaanza kufanya vitu bila mipaka tutarajie teknoliajia kubwa kutoka kwa hawa mabwana tutalajie mapinduzi makubwa sana. Ila anguko la marekani naona lipo karibu. Leo hii marekan inaipigia magoti venezuela? Mpaka nimechoka
Great prediction! Nchi zote zilizofanikiwa kuinuka ni kwa sababu ya uonevu kama aufanyao US na NATO. But Russia is undaunted!
 
Putin alisema hakujawa na mbadala wa kile Urusi inachokiita operesheni yake maalum ya kijeshi nchini Ukraine na kwamba Urusi sio nchi ambayo inaweza kukubali kuathiri uhuru wake kwa aina fulani ya faida za kiuchumi za muda mfupi.

Means, they don't trade gold and manpower for domestic mirrors and beads, like some of those ignorant African chiefs.
 
Back
Top Bottom