Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute nawe ni msomi, unabwatuka kwa mahaba tuUkweli ni kuwa Urusi imepotea hivyo
Haya ni maneno ya Putin ya kijamaaa, lakini katika dunia ya SASA yanaitajika kweli uache kutumia bidhaaa za Western Union kisa PutinPutin alisema hakujawa na mbadala wa kile Urusi inachokiita operesheni yake maalum ya kijeshi nchini Ukraine na kwamba Urusi sio nchi ambayo inaweza kukubali kuathiri uhuru wake kwa aina fulani ya faida za kiuchumi za muda mfupi.
Its inhuman to expose photos of fallen soldiers, MODS do something to this imbecileEvery min Russian souldier are killed, Shida ni WA ukraine wote hawawapendi wala kuwaunga mkono / unless urusi ipeleke wanajeshi malaki kwa malaki wawe wengi kuliko raia.
View attachment 2146511
Breaking News: The US threatens to sanction China for not sanctioning Russia
Source: RT news https://www.rt.com/russia/551569-us-threat-china-trade/
Marekani yatishia kuiwekea vikwazo China endapo kama haitaiwekea vikwazo Urusi.
*******
Bado tu hamjaanza kuona mgonjwa( USA) anakaribia kukata roho!!?
Labda ni myukraine ameteka hii forumAngalizo: Admins wa JF naona mmeamua kufuta baadhi ya nyuzi zangu nazozianzisha kuhusu mgogoro wa kivita nchini Ukraine. Siju shida ni nini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda ni myukraine ameteka hii forum
Kwisha habari yake alijua ataingusha Ukraine siku 2 tu, sasa leo anaongea hivi mara vile., si alisema yeye hatatetereka kwa vikwazo mbona sasa anaviita haramu maana yake ni kwamba anakiri anaumia na kudhoofika, kama ataibuka kuwa taifa lenye nguvu maana yake kwamba sasa hali ni ngumu sana na anahitaji muda na hajuwi pia kwa baadae hali itakuwaje, majenerali wake 2 wamepata kibano ukraine, amepata pigo nadhan moyoni anajutaRais wa Urusi Vladimir Putin amesema mwisho wa siku Urusi hatimaye itaibuka na nguvu na uhuru zaidi baada ya kukabiliana na matatizo yaliyosababishwa na kile alichokiita vikwazo haramu vya nchi za Magharibi.
Putin alisema hakujawa na mbadala wa kile Urusi inachokiita operesheni yake maalum ya kijeshi nchini Ukraine na kwamba Urusi sio nchi ambayo inaweza kukubali kuathiri uhuru wake kwa aina fulani ya faida za kiuchumi za muda mfupi.
Chanzo: Reuters
LONDON, March 10 (Reuters) - Russian President Vladimir Putin said on Thursday that Russia would ultimately emerge stronger and more independent after overcoming the difficulties caused by what he called the West's illegitimate sanctions.
Putin said there had been no alternative to what Russia calls its special military operation in Ukraine and that Russia was not a country which could accept compromising its sovereignty for some sort of short-term economic gain.
"These sanctions would have been imposed in any case," Putin told a meeting of the Russian government. "There are some questions, problems and difficulties but in the past we have overcome them and we will overcome them."
Source: ReutersView attachment 2146411
Vikwazo alivyowekewa russia ni kifo., haijawahi tokea kama hivi kwa nchi yoyte, ngoja kwanza watu wajipigie ngawira meli za makampuni ya russia zinashikwa uko ufaransa watu wanakula ngawiraWatu wa JF munajitahid kuzungumzia uchumi lakin hamna kitu ,wengi wa humu wanadhani uchumi ni thamani ya pesa tu. Utakuta mtu anasema Uchumi wa Russia hamna kitu au wa Iran hamna kitu hata hawaz hivyo vikwazo vilikuwepo toka mwaka gani na kufatilia maendeleo ya hizo nchi kwa sasa zilipo. Mfano mdogo Iran toka wafanye mapinduzi kumtoa kibaraka wa marekan mpaka wanadumu na vikwazo lakin Muiran huyo huyo kapeleka mafuta kwa Maduro meli 3 baada ya marekan kuiwekea vikwazo Venezuela na hamna alichomfanya unadhan bira ya kua na power unaweza fanya hivi mbele ya marekan hebu mda mwengine tujaribu japo kulinganisha nchi yetu isiewekewa vikwazo na inayopewa misaada yote na hizo nchi zilizowekewa vikwazo je tunazikaribia kwa uchumi ,labda hapo mtu utaweza kuandika point inayoeleweka kidogo.
wasamehe bule,Putin ni shida,wanamuogopa asije akawapamdia na chopaAngalizo: Admins wa JF naona mmeamua kufuta baadhi ya nyuzi zangu nazozianzisha kuhusu mgogoro wa kivita nchini Ukraine. Siju shida ni nini