Putin anaonya nchi za Magharibi: Urusi itaibuka kama taifa lenye nguvu zaidi

Putin anaonya nchi za Magharibi: Urusi itaibuka kama taifa lenye nguvu zaidi

Sawa mkuu hata mimi naona bado
Bado mkuu hadi tuone wanalia kabsa
IMG_20220311_124556.jpeg
 
Wel said mkuu[emoji1376][emoji1376][emoji1376][emoji1376]
nchi nyingi sana ambazo ni marafiki na USA ni nchi ambazo haziko stable kiuchumi na nyingi kisiri lazima zinatafuta namna ya kujitoa kwenye mkono wa hili beberu la west. ila nchi nyingi sana ambazo ziko stable kiuchumi ni zile ambazo wako na uhuru wao bila kutazama west wanafanya nini mwangalie mchini, Russia mwenyewe mwangalie mkolea, mwanagalie libya enzi yuko Raisi wao pendwa angalia na wakati alipo pingwa tukio ni wakati sasa nchi za west ziondoe vikwazo vyao kwa kutishia kuporomoka kwa uchumi lakini kwa mda mfupi alafu uchumi wa kila mmoja duniani utakua sawaa kulingana na matakwa ya nchi husika na uongozi uliopo madarakani
 
Kifuatacho ni marekani baada kuona anapoteza point 3 katika huu mtanange, ninaamini anaweza kufanya moja kati ya haya mawili halafu akamsingizia urusi.

1>> Matumizi ya silaha za kibailojia
2>> Kupiga Bomo la nyuklia

Katika uhalisia Urusi hawezi kushinda vita dhidi ya Nchi za Magharibi hii ni kwa Sababu mifumo yote ya uchumi ni ya kwao,kama Kuna mtu anabisha basi asubili alone kifuatacho.
Mark my words.
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema mwisho wa siku Urusi hatimaye itaibuka na nguvu na uhuru zaidi baada ya kukabiliana na matatizo yaliyosababishwa na kile alichokiita vikwazo haramu vya nchi za Magharibi.

Putin alisema hakujawa na mbadala wa kile Urusi inachokiita operesheni yake maalum ya kijeshi nchini Ukraine na kwamba Urusi sio nchi ambayo inaweza kukubali kuathiri uhuru wake kwa aina fulani ya faida za kiuchumi za muda mfupi.

Chanzo: Reuters

LONDON, March 10 (Reuters) - Russian President Vladimir Putin said on Thursday that Russia would ultimately emerge stronger and more independent after overcoming the difficulties caused by what he called the West's illegitimate sanctions.

Putin said there had been no alternative to what Russia calls its special military operation in Ukraine and that Russia was not a country which could accept compromising its sovereignty for some sort of short-term economic gain.



"These sanctions would have been imposed in any case," Putin told a meeting of the Russian government. "There are some questions, problems and difficulties but in the past we have overcome them and we will overcome them."

Source: ReutersView attachment 2146411
Tupo pamoja [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Watu wa JF munajitahid kuzungumzia uchumi lakin hamna kitu ,wengi wa humu wanadhani uchumi ni thamani ya pesa tu. Utakuta mtu anasema Uchumi wa Russia hamna kitu au wa Iran hamna kitu hata hawaz hivyo vikwazo vilikuwepo toka mwaka gani na kufatilia maendeleo ya hizo nchi kwa sasa zilipo. Mfano mdogo Iran toka wafanye mapinduzi kumtoa kibaraka wa marekan mpaka wanadumu na vikwazo lakin Muiran huyo huyo kapeleka mafuta kwa Maduro meli 3 baada ya marekan kuiwekea vikwazo Venezuela na hamna alichomfanya unadhan bira ya kua na power unaweza fanya hivi mbele ya marekan hebu mda mwengine tujaribu japo kulinganisha nchi yetu isiewekewa vikwazo na inayopewa misaada yote na hizo nchi zilizowekewa vikwazo je tunazikaribia kwa uchumi ,labda hapo mtu utaweza kuandika point inayoeleweka kidogo.
Unaandika maneno mengi.. Nimesema kwa sasa.. ye kesho hatujui.. sasa hivi.. Russia economy is trashed..
 
Breaking News: The US threatens to sanction China for not sanctioning Russia

Source: RT news https://www.rt.com/russia/551569-us-threat-china-trade/

Marekani yatishia kuiwekea vikwazo China endapo kama haitaiwekea vikwazo Urusi.

*******
Bado tu hamjaanza kuona mgonjwa( USA) anakaribia kukata roho!!?
Leo kahamia kwa India kwa kununua silaha kwa Urusi anataka kumwekea vikwazo India pia.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
nchi nyingi sana ambazo ni marafiki na USA ni nchi ambazo haziko stable kiuchumi na nyingi kisiri lazima zinatafuta namna ya kujitoa kwenye mkono wa hili beberu la west. ila nchi nyingi sana ambazo ziko stable kiuchumi ni zile ambazo wako na uhuru wao bila kutazama west wanafanya nini mwangalie mchini, Russia mwenyewe mwangalie mkolea, mwanagalie libya enzi yuko Raisi wao pendwa angalia na wakati alipo pingwa tukio ni wakati sasa nchi za west ziondoe vikwazo vyao kwa kutishia kuporomoka kwa uchumi lakini kwa mda mfupi alafu uchumi wa kila mmoja duniani utakua sawaa kulingana na matakwa ya nchi husika na uongozi uliopo madarakani
Acha uongo western Europe + Canada + Japan +south Korea+Australia hawa wote wanamsupport marekani 100 kwa hiyo hawako stable kiuchumi hii comment ni ya kijinga sana
 
Kwakuwa baba yako kafilisika basi unadhani na urusi
Mjinga ww. Nimesema.. sasa hivi.. Ya kesho hatuyajui.. economy ya Russia inaweza kuinuka tena.. ila kwa sasa hivi Russia economy is trashed.. watu mnapinga tu hoja.. kumbe wajinga tu. PS.. Huyo uliemtukana.. manake Baba yangu... aliniacha nikiwa na miaka 7. Kwa hio simtambui.. na mafanikio yangu hajachangia kitu
 
Back
Top Bottom