Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
South Africa iliwahi kuwekewa vikwazo hivyo kipindi cha apatheid ikaibuka kuwa taifa lenye nguvu ktk Afrika kiuchumi hadi hapo walipoanza akina Mandela na waliofuata uchumi umeporomoka mno.The last kick of a dying donkey.
Russia imekua kama kisiwa, hakuna ndege wala meli inayoweza kwenda ama kutoka Russia.
Hii ni failed state after 2 months ahead
Madhara ya vikwazo vya Russia hata sisi tutayanywa , na tayari tumeanza, baada ya miezi mitatu utarudi kwa sauti ya upole sana, utakuwa unalia pamoja na Raia wa Russia na mataifa mengine.
Ni mjinga tu atakayeamini anayeathirika ni Urusi wakati waarabu wanategemea ngano kwa 85% na Urusi na Ukraine huzalisha 60% ya ngano yote duniani. Achalia Alizeti, Mafuta na gesi
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app