Putin anaonya nchi za Magharibi: Urusi itaibuka kama taifa lenye nguvu zaidi

Putin anaonya nchi za Magharibi: Urusi itaibuka kama taifa lenye nguvu zaidi

Vladmir Putin

Rais wa Russia Comrade Vladmir Putin Amesema Nchi hiyo inakwenda kuwa Nchi Imara na yenye Uchumi Mzito kuliko ilivyo Leo kinyume na Maadui zake wanavyojidanganya.

Putin aliyasema hayo Alhamis alipokuta na Baraza la Uongozi la Russia kwenye Kikao ambacho kilikuwa Live kwenye Radio na TV, na kuonyeshwa Live na TV na Radio zaidi ya 420, kwenye Mataifa Mbali mbali yenye Uhuru wa kuonyesha Habari kutoka Urusi.

"Lazima Mjuie, Tulijua kuwa watakuja na silaha hii butu, kwa sababu najua hawawezi kutupangia njia za kujilinda dhidi ya hatari tunayoiona, Nimeamua kufanya Operation ya Kijeshi kwa Serikali ya Kyiv kwa sababu za Usalama wa Russia na vizazi vyake vya kesho"...Hakuna wa kunizuia, hakuna wa kutupinga, na hata wakiweka Vikwazo mara elfu moja, bado tuna Haki ya Kusimama Kulinda usalama wetu"..Na sasa Maumivu waliyotaka kwetu yamerudi milango mwao..

"Ni Wapuuzi kabisa, na hivyo vikwazo vyao mmeona matokeo yake, Sasa Nauli za Ndege kwenda Hanoi ama Macau zimekuwa mara Mbili na zaidi, lakini kwa Vile Mataifa hayo yanaongoza Vipofu yamezuia kutolewa habari hizo, Viongozi wao wanaendelea kufanya Mzaha na kujaribu kuwafumba watu wao"...

"Nilipokea siku hiyo hiyo waliposema Russia isisafirishe Mafuta kwa Nchi za America, Ajabu siku tatu Baadae wamelalamika Bei za Mafita zimekuwa karibu mara mbili, na Mfumuko wa Bei za Bidhaa zao Hazielezeki kabisa, Ni Kichaa tu anayeweza kusema Eti Tunaumia sisi kuliko Ambaye Bidhaa zake zimepanda kwa 170.6% ..

"Kwa sasa katika Ulaya Nzima penye Unafuu wa Maisha ni Russia tu, Wengine hata Gesi Imegeuka dhahabu, hupati gesi, watawala wao wamejipiga shaka kwa kujaribu kupambana na Russia"...Rais putin alinukuliwa akisema.

"Walitaka tukubali kuhatarisha usalama wetu kisa manufaa Kiduchu ya kiuchumi, Haiwezekani, hatukubali na siku yoyote ikiwa hivyo tutajibu vikali zaidi kuliko Operation ya Ukraine "..
Safi Sana! Unakataa kununua mahindi kwangu kunikomoa alafu watoto wako wanalala njaa Kwa kukosa ugali alafu unawaambia eti mimi mbaya wanilaumu nakunilaani!
Kweli wanaongoza vipofu!
 
Jaribu kutumia vizuri ubongo na siyo kuutumia kula tunda kimasihara hivi unawezaje kusema kwamba mtwara isiutishe mkoa wa kilimanjaro kwa kilimo cha korosho na wakati mkoa mzima kwa mwaka hawezi kuvuna tani 100 na kati mtwara wanavuna zaidi ya tani laki moja? Hivi unaujua mzigo wa nuke uliyopo russia au kwa vile unaishi kwa shemela hata bei ya fungu la nyanya huijui?
hum ndani watu wanatweza sana utu. [emoji23]
 
Ukitumia ubongo vizur kutafakar hii kauli ya Putin ni kana kwamba analalamika kwamba vikwazo ni vibaya ila anachofanya ni kuwapa wananchi matumaini ili hali akijua nchi yake inateketea haina tofauti na Zelesky unamuona anajigamba live kwenye tv huku akijua wazi kwamba ana hali mbaya kutokana na mashambulizi ya Russia, mfa maji haachi kutapatapa
Unahisi una akili kuliko warussia, bongo bahati mbaya ni kupanua Domo na kuropoka
 
Mwanaume Russia anaunguruma Tumbiri weusi wanasema eti, Russia imekwisha hivi mnajua Russia alishacalculate risk, profit ,loss na akaja na jibu la Vita.
1.hivi mnajua Russia ndiye anayetegemewa na hao mashoga wa Ulaya na USA ktk mafuta na gesi
2. Hivi mnajua OPEC wameshasena pengo la oil ya Russia halina replacement
3.Hivi mnajua ya kwamba kuanzia Sasa Russia anaweza kudaka NATO member yoyote na kutoa kifinyo bila yoyote kuingilia au kughasi
4. Hivi mnajua Russia angeamua kutumia siku so chini ya mbili kugeuza Ukraine yote kifusi bali ana huruma ya kuuwa watu.
5. Hivi mnajua bila ya kuwa na wababe Kama Russia hao mashoga Ulaya na America wangetulazimisha Africa yote tuwe mashoga kwa kutishiwa vikwazo
6. Hivi mnajua Russia pekee ndiye hajawahi kutufanya watumwa Wala biashara ya utumwa Bali hao mashoga ndio walitununua Kama watumwa.
Mwisho wa yote Mwenyezi Mungu alituumba tuishi kwa muda hapa duniani kwa lengo la kumuabudu na kupendana sisi site, so mwisho mashoga na uchafu wote wa hao NATO na America wataangamia ,
 
nchi nyingi sana ambazo ni marafiki na USA ni nchi ambazo haziko stable kiuchumi na nyingi kisiri lazima zinatafuta namna ya kujitoa kwenye mkono wa hili beberu la west. ila nchi nyingi sana ambazo ziko stable kiuchumi ni zile ambazo wako na uhuru wao bila kutazama west wanafanya nini mwangalie mchini, Russia mwenyewe mwangalie mkolea, mwanagalie libya enzi yuko Raisi wao pendwa angalia na wakati alipo pingwa tukio ni wakati sasa nchi za west ziondoe vikwazo vyao kwa kutishia kuporomoka kwa uchumi lakini kwa mda mfupi alafu uchumi wa kila mmoja duniani utakua sawaa kulingana na matakwa ya nchi husika na uongozi uliopo madarakani
mchin na mkolea ndio nini?
 
Back
Top Bottom