Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Endelea kuota.. angalia usikojoe tu kitandaniUkweli ni kuwa Urusi imepotea hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuota.. angalia usikojoe tu kitandaniUkweli ni kuwa Urusi imepotea hivyo
Inabidi tuwe wapenzi wasomaji wa comment tu hapa,lakini uhalisia wenyewe anaujua Putin na wanaomzunguka ndiyo maana kageuka kuwa motivational Speakaer kujaribu kuwaondolea hofu wananchi wake kwa kile kinachokuja mbele yao.Vita na iishe hata kesho,Putin aikalie Ukraine ikiwezekana halafu sasa tutarudi kwenye uhalisia tuone nani atakuwa mshindi wa hii vita.
Mbina Bannet alimpigia simu Putin na uzi upo humu?Tangu vita hii ianze sjawasikia Israel kabisa....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1756][emoji1756]Jaribu kutumia vizuri ubongo na siyo kuutumia kula tunda kimasihara hivi unawezaje kusema kwamba mtwara isiutishe mkoa wa kilimanjaro kwa kilimo cha korosho na wakati mkoa mzima kwa mwaka hawezi kuvuna tani 100 na kati mtwara wanavuna zaidi ya tani laki moja? Hivi unaujua mzigo wa nuke uliyopo russia au kwa vile unaishi kwa shemela hata bei ya fungu la nyanya huijui?
Tuna wapuuzi sana humu hasa vitoto vya 2000'sKuna watu humu ndani wanachojua wao ni kwamba russian anauza mafuta na gesi pekee hebu fikiria kuna nchi eg germani anaitegemea russia kuanzia makaa ya mawe gesi mafuta ya nishati mafuta ya kula ngano halafu kuna mtu humu anafunua funua mdomo wake na kukoment upuuzi akiwa hajui chochote na akati sasa hivi ulaya yote kuna shida ya gesi na mafuta hadi kufikia ujeruman kukataa ndani ya kikao kilichofanyika huko ufaransa kwamba hakubali vikwazo zaidi dhidi ya russia kwani kibano kimewapata huko waliko
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Safi Sana! Unakataa kununua mahindi kwangu kunikomoa alafu watoto wako wanalala njaa Kwa kukosa ugali alafu unawaambia eti mimi mbaya wanilaumu nakunilaani!
Kweli wanaongoza vipofu!
Anahisi US atawauzia kwa bei chee? WatashangaaHili suala la mafuta unaliongeleaje??
Europe watapata wapi mafuta?
Subiri uone kama ni wazamani kuliko weweNi jamaa flani limekaa kizamani kweli kweli
Nani jirani wakumuuzia?Mjinga hufahamu hata kwamba US ndo producer mkubwa wa mafuta duniani, almost twice ya russia
Hizi story za kijinga nani anawaambiaga? Au ndo mnapigaga mkiwa mmekaa na kobazi zenu
Hizi huwa ni porojo za Nchi za kijamaa kujifariji.Vladmir Putin
Rais wa Russia Comrade Vladmir Putin Amesema Nchi hiyo inakwenda kuwa Nchi Imara na yenye Uchumi Mzito kuliko ilivyo Leo kinyume na Maadui zake wanavyojidanganya.
Putin aliyasema hayo Alhamis alipokuta na Baraza la Uongozi la Russia kwenye Kikao ambacho kilikuwa Live kwenye Radio na TV, na kuonyeshwa Live na TV na Radio zaidi ya 420, kwenye Mataifa Mbali mbali yenye Uhuru wa kuonyesha Habari kutoka Urusi.
"Lazima Mjuie, Tulijua kuwa watakuja na silaha hii butu, kwa sababu najua hawawezi kutupangia njia za kujilinda dhidi ya hatari tunayoiona, Nimeamua kufanya Operation ya Kijeshi kwa Serikali ya Kyiv kwa sababu za Usalama wa Russia na vizazi vyake vya kesho"...Hakuna wa kunizuia, hakuna wa kutupinga, na hata wakiweka Vikwazo mara elfu moja, bado tuna Haki ya Kusimama Kulinda usalama wetu"..Na sasa Maumivu waliyotaka kwetu yamerudi milango mwao..
"Ni Wapuuzi kabisa, na hivyo vikwazo vyao mmeona matokeo yake, Sasa Nauli za Ndege kwenda Hanoi ama Macau zimekuwa mara Mbili na zaidi, lakini kwa Vile Mataifa hayo yanaongoza Vipofu yamezuia kutolewa habari hizo, Viongozi wao wanaendelea kufanya Mzaha na kujaribu kuwafumba watu wao"...
"Nilipokea siku hiyo hiyo waliposema Russia isisafirishe Mafuta kwa Nchi za America, Ajabu siku tatu Baadae wamelalamika Bei za Mafita zimekuwa karibu mara mbili, na Mfumuko wa Bei za Bidhaa zao Hazielezeki kabisa, Ni Kichaa tu anayeweza kusema Eti Tunaumia sisi kuliko Ambaye Bidhaa zake zimepanda kwa 170.6% ..
"Kwa sasa katika Ulaya Nzima penye Unafuu wa Maisha ni Russia tu, Wengine hata Gesi Imegeuka dhahabu, hupati gesi, watawala wao wamejipiga shaka kwa kujaribu kupambana na Russia"...Rais putin alinukuliwa akisema.
"Walitaka tukubali kuhatarisha usalama wetu kisa manufaa Kiduchu ya kiuchumi, Haiwezekani, hatukubali na siku yoyote ikiwa hivyo tutajibu vikali zaidi kuliko Operation ya Ukraine "..
Kwenye vikwazo huwa hakuna mbabe tatizo watz tunapenda ushabiki tu ila kwasasa Russia vikwazo vimemkalia kooni sema ndio vile jeuri tu kama North KoreaMpaka Putin anaingia vitani, haya yote alishayabaini na kuyafanyia mahesabu. Si mjinga. Vikwazo vinawaumiza wote, wa nje tena zaidi. Kila mtu, popote pale, atajikuta analipia gharama za kushupaza huku shingo.
Unabana kumkomoa Putin huku mzigo unarudi kutesa raia wako wanaotegemea gesi na mafuta 'rahisi' kutoka hukohuko ulipobana.
Kiburi cha Putin ni kuamini Ulaya inamhitaji yeye zaidi kuliko anavyoihitaji.
Unazani wengine hizo Nuclear hawana tatizo mentality za kijamaa viongozi wanapenda kuonekana wababe ilihali wananchi wanatumia, Soma historia ya Russia Tangu walivyoangusha utawala wa Kifalme akaingia Lenin Hadi Leo uone namna wanavyopanda na kushuka kutoka na sera zao mbovuJaribu kutumia vizuri ubongo na siyo kuutumia kula tunda kimasihara hivi unawezaje kusema kwamba mtwara isiutishe mkoa wa kilimanjaro kwa kilimo cha korosho na wakati mkoa mzima kwa mwaka hawezi kuvuna tani 100 na kati mtwara wanavuna zaidi ya tani laki moja? Hivi unaujua mzigo wa nuke uliyopo russia au kwa vile unaishi kwa shemela hata bei ya fungu la nyanya huijui?
israeli weng wapo urus wap marekan ukmy huo kuna jambo apoTangu vita hii ianze sjawasikia Israel kabisa....
Ubabe na huku na wewe unaumia? Nani wa kumreplace Russia? Mzee hii inakula kote. Qatar mwenyewe ashakiri kuwa hawawezi kumreplace Russia kwenye production.Kwenye vikwazo huwa hakuna mbabe tatizo watz tunapenda ushabiki tu ila kwasasa Russia vikwazo vimemkalia kooni sema ndio vile jeuri tu kama North Korea
Wanaweza sema kule USA matajiri wanagoma kuongeza uwezo wa kuzalisha, hata Saudia kagoma kisa mtoto wa mfalme amewekewa vikwazo na USA kisa mauaji ya KashogiUbabe na huku na wewe unaumia? Nani wa kumreplace Russia? Mzee hii inakula kote. Qatar mwenyewe ashakiri kuwa hawawezi kumreplace Russia kwenye production.View attachment 2148846
Eti a failed state [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Eeeenhe una miaka mingapi kwanza [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] tusije anza elekeza watoto wa nursery yaliyo nje ya uwezo wao....The last kick of a dying donkey.
Russia imekua kama kisiwa, hakuna ndege wala meli inayoweza kwenda ama kutoka Russia.
Hii ni failed state after 2 months ahead
Kwa Mjomba wake uko Sengerema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili suala la mafuta unaliongeleaje??
Europe watapata wapi mafuta?
Na jeshi lenyewe ndo hili linasubiliwa kumtoa Putin kinyesi....viva russia..!!! let us kick their ass until they hold no more bitches ass niccah..!!!
Bro mtu ashakwambia Almost twice ya Mrussia unahangaika kumjibu wa nini unapoteza mda... Me nimeisoma nikakausha tu asinimalizie charge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani jirani wakumuuzia?
Gharama ya kusafirisha hadi ulaya inafanana na Russia? Tumia kaubongo kadogooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajichosha tu mzee... Yani kuna kindu hum nimeliona ata umwelezee vipi hayuko tayar kukusikiliza mpk ufate mawazo yake hyo taarifa atakwambia ni Propaganda au umeedit... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ubabe na huku na wewe unaumia? Nani wa kumreplace Russia? Mzee hii inakula kote. Qatar mwenyewe ashakiri kuwa hawawezi kumreplace Russia kwenye production.View attachment 2148846