britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Russia anatakiwa kukutana na wendawazimu kama Finland, hao ndiyo hata yeye Russia anawagwaya.
Mwaka 1939 aliivamia Finland ili kuitanua himaya yake ya Soviet, pamoja na uhodari wa Jeshi lake na vifaa vyake vya kivita Russia aliishia kupata hasara kubwa sana kwenye ile winter war, zaidi akaishia kufukuzwa uanachama kutoka The League of Nations kabla haijabadilika na kuwa UN.
Baada ya vita kuu ya pili ya dunia akaendelea kuzitisha na kuzimavamia nchi za Ulaya ili kuziunganisha ma Soviet na kwa kuwa alikua ni giant, hivyo hakukua na wa kumzuia. Ndipo mwaka 1949 Ulipoanzishwa Umoja wa kujihami wa nchi za Ulaya (NATO), NATO ilianzishwa ili kujihami na Russia and nobody else.
Finland hakutaka kujiunga, maana alishaamua hamuogopi na akimleta zake watamalizana.
Hivi majuzi Russia alipowaonya majirani zake kuwa yeyote atakayetaka kujiunga na NATO lazima amshikishe adabu na kweli Ukraine akaanza kusumbuliwa waswahili wanasema akakiona cha moto, ndipo Finland akatangaza kujiunga na NATO, yaani ni kama vile kumwambia “wapangie hao hao mambwiga, mimi huna la kunifanya" na akaenda mbali zaida kwa kuagiza Israeli SPYDER air defense system, mfumo ambao Ukraine aliuomba vita ilipoanza ili kulinda anga lake, lakini Russia alipoona hivyo akaanza kulalamika na kuitisha Israel kuwa Russia haitahusika na Ulinzi wa assets za Israel mchini Syria, kitu ambacho haki make sense, kwani Israel hama anachomtegemea Russia huko Syria maana hata ule mfumo wa Russia wa S-300 hundred si lolote kwa Israel kutimiza mission zake.
Pamoja na hayo Israel aliamua ku back off na kutompatia Ukraine mfumo ule sababu aliona si busara kuupeleka mfumo ule wakati huu vita na yeye ana maslahi na ukaribu na nchi zote mbili, na ndiyo iliyopelekea hata Moscow ikubali Israel kuwa mediator kwenye vita hii.
Lakini Finland ameshaagiza mzigo wake na anaenda kufungiwa.
Leo waziri wake wa Ulinzi amemkumbusha Urusi kwamba ntakulisha biscuit kwenye Vita ya kwenye baridi kama hapo awali cheza uone” hii imakuja baada ya Urusi kusema kwamba Endapo Finland itajiunga atapata Tabu sana”
Wataalamu wa Masuala ya Saikolojia wamemzunguka Putin kumshauri kila mara baada ya kuona kila mission yake haitimii
Mfano Kumrejesha Kibaraka wake UKRAINE na kuiangusha Dola ya Zelensky kaishia kupata hasara yeye.
Britanicca