Putin anatakiwa kukutana na nchi kama Finland ambayo sasa naona ameanza kuichokonoa, atashangaa NATO ipo Moscow

Putin anatakiwa kukutana na nchi kama Finland ambayo sasa naona ameanza kuichokonoa, atashangaa NATO ipo Moscow

Vita hivi vinapiganwa kihuruma na kidugu.

Ingekuwa miaka ile dunia ni kama shamba LA bibi . Putin anaangusha mabomu 2000000hapo Finland alafu Ukraine analambwa nuclear sita kwisha habari.

FSB wote Ulaya na US wanajitwika Nuclear kma kwenye series ya 24 wale magaidi. Mchezo kwisha.

Anajitapa hivyo maana anajua atapigwa kidogo kidogo, na kabla hajamaliza watakuja NATO wambackup
 
Jerumani au Germany niliandika hivyo ili nikusaidie wale wenye matatizo ya uchungu ambao unapelekea kujiua au depression. Ebu katibiwe kwanza mtindio wa ubongo

Halafu ukipona kajifunze historia sababu ilo SoMo sio lazima ukae darasani kwahiyo usiogope na elimu yako ya kuunga unga ya darasa la 7B
Watumishi wa NGOs za kuhamasisha ush... Wanaofadhiliwa na wamagharibi mna tabu kweli. Msipotetea upuuzi na wapuuzi mnanyimwa ufadhili

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Russia anatakiwa kukutana na wendawazimu kama Finland, hao ndiyo hata yeye Russia anawagwaya.
Mwaka 1939 aliivamia Finland ili kuitanua himaya yake ya Soviet, pamoja na uhodari wa Jeshi lake na vifaa vyake vya kivita Russia aliishia kupata hasara kubwa sana kwenye ile winter war, zaidi akaishia kufukuzwa uanachama kutoka The League of Nations kabla haijabadilika na kuwa UN.
Baada ya vita kuu ya pili ya dunia akaendelea kuzitisha na kuzimavamia nchi za Ulaya ili kuziunganisha ma Soviet na kwa kuwa alikua ni giant, hivyo hakukua na wa kumzuia. Ndipo mwaka 1949 Ulipoanzishwa Umoja wa kujihami wa nchi za Ulaya (NATO), NATO ilianzishwa ili kujihami na Russia and nobody else. Finland hakutaka kujiunga, maana alishaamua hamuogopi na akimleta zake watamalizana.

Hivi majuzi Russia alipowaonya majirani zake kuwa yeyote atakayetaka kujiunga na NATO lazima amshikishe adabu na kweli Ukraine akaanza kusumbuliwa waswahili wanasema akakiona cha moto, ndipo Finland akatangaza kujiunga na NATO, yaani ni kama vile kumwambia “wapangie hao hao mambwiga, mimi huna la kunifanya" na akaenda mbali zaida kwa kuagiza Israeli SPYDER air defense system, mfumo ambao Ukraine aliuomba vita ilipoanza ili kulinda anga lake, lakini Russia alipoona hivyo akaanza kulalamika na kuitisha Israel kuwa Russia haitahusika na Ulinzi wa assets za Israel mchini Syria, kitu ambacho haki make sense, kwani Israel hama anachomtegemea Russia huko Syria maana hata ule mfumo wa Russia wa S-300 hundred si lolote kwa Israel kutimiza mission zake.

Pamoja na hayo Israel aliamua ku back off na kutompatia Ukraine mfumo ule sababu aliona si busara kuupeleka mfumo ule wakati huu vita na yeye ana maslahi na ukaribu na nchi zote mbili, na ndiyo iliyopelekea hata Moscow ikubali Israel kuwa mediator kwenye vita hii.

Lakini Finland ameshaagiza mzigo wake na anaenda kufungiwa,

Leo waziri wake wa Ulinzi amemkumbusha Urusi kwamba ntakulisha biscuit kwenye Vita ya kwenye baridi kama hapo awali cheza uone” hii imakuja baada ya Urusi kusema kwamba Endapo Finland itajiunga atapata Tabu sana”

Wataalamu wa Masuala ya Saikolojia wamemzunguka Putin kumshauri kila mara baada ya kuona kila mission yake haitimii

Mfano Kumrejesha Kibaraka wake UKRAINE na kuiangusha Dola ya Zelensky kaishia kupata hasara yeye

Britanicca
Nonsense!..anyway upeo wako ndo umeishia hapo
 
Amepigwa na bado yupo Ukraine na sio Urusi?.hii kweli kali
Taifa kubwa kama Urusi kutangaza masaa 72 kuichukua Ukraine ikashindwa na kashindwa iondoa serikali ya Kyiv kama alivyojitapa

Imepoteza Mageneral 7 katika kipindi Cha mwezi mmoja tu

Sasa hivi kakubali mazungumzo ya amani wakati mwanzoni alikua anakwepa

Kifupi KAPIGWA. mbona Marekani alikaa Vietnam na Bado alikuwa kapigwa mpaka mwishoni wakaona vita inaleta hasara akabeba virago akasepa

Ndio kimempata Urusi
 
Usichokijua kutokana na kushindwa huko kwa Russia miaka ile, ili warusi kuondoka ulitengenezwa mkataba ambao Finland iliachia 10 percent. Ardhi hii Ni sehemu ya Russian Federation. Hiyo huitwa Keralia.
Rudi class shee
 
Taifa kubwa kama Urusi kutangaza masaa 72 kuichukua Ukraine ikashindwa na kashindwa iondoa serikali ya Kyiv kama alivyojitapa

Imepoteza Mageneral 7 katika kipindi Cha mwezi mmoja tu

Sasa hivi kakubali mazungumzo ya amani wakati mwanzoni alikua anakwepa

Kifupi KAPIGWA. mbona Marekani alikaa Vietnam na Bado alikuwa kapigwa mpaka mwishoni wakaona vita inaleta hasara akabeba virago akasepa

Ndio kimempata Urusi
Hivi masaa 72 alitangaza Nani?
tokA lini general akaingia vitani?
 
Taifa kubwa kama Urusi kutangaza masaa 72 kuichukua Ukraine ikashindwa na kashindwa iondoa serikali ya Kyiv kama alivyojitapa

Imepoteza Mageneral 7 katika kipindi Cha mwezi mmoja tu

Sasa hivi kakubali mazungumzo ya amani wakati mwanzoni alikua anakwepa

Kifupi KAPIGWA. mbona Marekani alikaa Vietnam na Bado alikuwa kapigwa mpaka mwishoni wakaona vita inaleta hasara akabeba virago akasepa

Ndio kimempata Urusi
taifa kubwa kama US halikuweza kufanya hivyo kwa LIBYA nchi dhaifu
UKRAINE imebakia vifusi endeleeni kushinda kwenye MEDIA
 
Taifa kubwa kama Urusi kutangaza masaa 72 kuichukua Ukraine ikashindwa na kashindwa iondoa serikali ya Kyiv kama alivyojitapa

Imepoteza Mageneral 7 katika kipindi Cha mwezi mmoja tu

Sasa hivi kakubali mazungumzo ya amani wakati mwanzoni alikua anakwepa

Kifupi KAPIGWA. mbona Marekani alikaa Vietnam na Bado alikuwa kapigwa mpaka mwishoni wakaona vita inaleta hasara akabeba virago akasepa

Ndio kimempata Urusi
Tuwekee hapa source inayoonyesha Putin alisema watachuikua Ukraine kwa masaa 3.

Ukishindwa kuweka source then toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na useme kwa sauti Mara 3 huku ukijipiga piga kifua ukisema 'hakika Mimi nilipewa fuvu kwa ajili ya kushikilia meno tu'.
 
Russia maandazi kabisa....watu walikuwa wanaogopa Bure kumbe urojo kabisa.... Ukraine tu Russia hajakubwa imetokea hivyo hovyo [emoji1787][emoji1787]
 
Wale waRussia wa kibaha Kwa mfipa Kwa Mathias...na ruvu darajani link inawahusu hii[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Hao NATO pamoja na baba yao US na mama yao England wamenyooshwa na Putin.
Hawajathubutu kuingia kwenye mipaka ya Ukraine licha ya Ukraine kulawitiwa mchana kweupe na Mrusi.
Libya kuna NATO?
Vipi NATO haikutia mguu ndani ya Libya?
If yes, mbona hawajatia mguu Ukraine?
 
Sasa Finland kama ni wababe kama unavyotaka kutuaminisha kuna haja gani ya kujiunga NATO si asimame yeye kama yeye au.
mbona Urus hakuvamiwa NATO aliyosaini nayo mikataba ya kutojitanua ila kaenda kuvamia Ukraine
 
Back
Top Bottom