- Thread starter
- #441
17 December 2024
Moscow, Russia
Mlipuko wa Moscow LIVE: Mkuu wa Kikosi cha Kulinda Nyuklia cha Urusi Igor Kirillov auawa katika mlipuko wa bomu
Jenerali wa jeshi la Urusi aliuawa katika mlipuko mjini Moscow siku ya Jumanne. Luteni Jenerali Igor Kirillov, ambaye ni mkuu wa Kikosi cha Kulinda mitambo ya Nyuklia, Biolojia na Kemikali cha Urusi, alikuwa akitoka kwenye jengo la makazi wakati bomu lililofichwa kwenye skuta ya umeme lililipuliwa na kumuua.
Msaidizi wa Kirillov pia aliuawa katika mlipuko uliotokea nje ya jengo la ghorofa huko Ryazansky Prospekt, ambalo lipo umbali wa (barabara) kilomita saba au maili 4 kusini mashariki mwa Ikulu ya Kremlin, shirika la habari la Reuters liliripoti kunukuu Kamati ya Uchunguzi ya Urusi