Kitakachofuata ni hayo majimbo kuitisha kura ya Maoni wataamua wawe sehemu ya Urusi na ndio mchezo umeisha .....Nadhani kwasasa tukubali ipo siku zitawaka kati ya US na Hao jamaa zake na Urusi kwa upande mwingine.
Lakini pia Upande Mwingine simlaumu Mrusi nalaumu Ukraine kutokujitambua wao wanaambiwa usijiunge na hao NATO watakuja Kutusumbua hapa Jirani wanangangania. Hii ni Vita Ya Wababe kila mmoja ana Maslahi yake unadhani EU inaweza kukataa Gas ya Urusi wakati ndio wanatumia kwa kujihami na baridi??
Mtu mwenyewe wanahangaika nae Putin ambae hajali kitisho kabisaaa. . .Putin Hajali na mpaka anachukua hatua Hii hakua na namna kwasababu Ukraine ikijiunga NATO ni hatari zaidi kwao or so waanzishe Ile Cuba Crisis ya Mwaka 1962 nae Russia atege silaha zake kule Venezuela au Cuba....
Ukraine ndio watakaoumia hapa wala hamna kingine..Issue ya vikwazo ni kelele tu....