Putin asema operesheni ya Urusi nchini Ukraine imefanikiwa

Mti mkavu wa Tanzania!
Silas Mayunga 'Mti mkavu' alkuwa Major general (two [emoji93] [emoji93] insiginia), not a General(four [emoji93][emoji93][emoji93][emoji93] insiginia).

Hivyo tofautisha Kati ya Brigade general([emoji93]), Major general ([emoji93][emoji93]), Lieutenant general ([emoji93][emoji93][emoji93]) na General([emoji93][emoji93][emoji93][emoji93]).
 
Kumbe ulitaka ubishi wa Kigoma tu?

Hahahaaaa........ huo utoto sina manka!
 
Putin akisema operation Ukraine imefanikiwa ,elewa kuwa
1. Kwa muda guy Ukraine Haina kabisa jeshi Wala vituo vya anga
2.vita inapiganiwa ndani ya Ukraine hakuna hata jiwe lililowahi kudondoka Russia
3.Russia imedhibiti mipaka karibu yote ya anga la Ukraine na kinachoingia na kutoka angani S400 Ina uwezo wa kudetect na kuattack at a second refer S400 zilizofungwa Belarus kazi zilizofanya.
4. Target karibu zote za Russia, zimeharibu miundombinu ya kijeshi na wanajeshi na kuwaepuka raia hili ni jeshi Bora kabisa kuwahi kutokea,
5.Hakuna NATO,USA, Wala Uk aliyejaribu kusogea kumsaidia Ukraine, wote wamemkimbia kibaraka wao kwa hofu ya kichapo Cha Russia.
6.vikwazo alivyowekewa Russia vinaathiri zaidi NATO, ULAYA, USA ,AFRICA kuliko RUSSIA yenyewe why
A.Russia ndiye msambazaji mkuu wa gesi na fuel kwa Ulaya na marekani
B .Russia anafanya biashara nzuri na China,India na nchi nyingi tu.
C.Russia ana silaha hatari kuliko hao NATO na US mfano ana ngao ya kukinga anga lake automatically director ukishambulia Russia , mfumo wa anga unaweza kuditect shambulio lilipotokea na kujibu automatically by nuclear hii ndio hofu kuu ya mashoga
D. Russia ana natural resource ambazo Ulaya na us hawana.
 
Bandiko chungu sana kwa wamarekani wa tandale
 
Mwanzo nilijua wazungu wote walio na nafasi kubwa za kisiasa wanajielewa, kumbe yapo na mazungu ya hovyo, mfano Putin. Nimemdharau sana huyu mzee.
Humpunguzii kitu, wewe endelea tu kuwapenda na kuona wana akili hao wanaotengeneza ma virus vya maangamizi kwa binadamu na kuja kufanyia majaribio Africa
 
Yaani ni unazi mtupu. Alafu vyombo vya habari vya kiMagharibi navyo vinasambaza huo upuuzi wakati ukweli ni kwamba Ukraine imeelemewa.
Mkuu sorry kwani point ya jamaa hapo ni Ukraine kushinda/kuelemewa au ni kuwa idadi ya ma-generals waliouwawa!?
 
Mkuu umesahau kuhusu "denazification" maana alizungumzia mawili kuwa ni moja ya malengo yake(denazification na demilitarization) kwahiyo haya yote amefanikiwa mkuu?
Maana kuhusu vikwazo na athari zake ni matokeo tu ya operation (invasion/war) yake, so jikite katika malengo yake.
 
Operesheni "imefanikiwa" ama "inaendelea vizuri"? Lipi hasa?

Operesheni "imefanikiwa" kuendana na malengo yote tuliyotangaziwa? Doubtful!

Operesheni "inaendelea vizuri" kuelekea katika malengo yao yote tuliyotangaziwa? Also, doubtful!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…