Putin asema operesheni ya Urusi nchini Ukraine imefanikiwa

Hao wote ni General Bwashee,kinachowatofautisha ni idadi ya nyota tuu.
 
Asipoteze kwani alituma malaika kwenda kupigana? casualties kwenye vita ni kawaida...............cha muhimu malengo kutimia
Inaweza ikawa too late maana jamaa ndo kwanza wanajiandaa kumpa alichokitaka.
Evacuation ya raia inaendelea kwa kasi sana pale Battlefield ili ikianza kazi hamna poo.
Dunia nzima imechukizwa na huyo Prutini
 
Inaweza ikawa too late maana jamaa ndo kwanza wanajiandaa kumpa alichokitaka.
Evacuation ya raia inaendelea kwa kasi sana pale Battlefield ili ikianza kazi hamna poo.
Dunia nzima imechukizwa na huyo Prutini
Imechukizwa kwa mujibu wa wamagharibi......ila kwa wengine putin ni kama mwokozi dhidi ya mifumo onevu ya kibepari
 
Ukiwaeleza wanakudai source ukiwapa source wanampinga hata putin na kutoa kisingizio kingine humu kuna wendawazimu sema hawajijui. Ni bora wote tujitanabaishe kama mashabiki tu. NA WAKATI TUKISHABIKIA TUKUBALIANE KABISA KWAMBA MASHABIKI WA RUSSIA WANAONGOZA KWA MAGOLI,BALL POSSESSION, SHORT ON GOAL,ON TARGET,NDO UKWELI WENYEWE.
 
Br hiyo pichA ya hizo meli Vita ilipigws mwaka 2017 kwenye mazoezi ya kivita yaliyoitwa zapad na sio hivyo BBC imetukaririsha..
Nb. Hiyo headline ya BBC ukiifungua Haina maelezo kabisa ndani yake zaidi ya update za Vita Ukraine.
N
 
Nipe tofauti ya kukamilika na kutimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…