Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Baada ya kuonesha ubabe wake kwa Ukraine kwa kutangaza uhuru wa majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine na kisha kuingia kijeshi na kuchakaza miundombinu ya jeshi la Ukraine huku Ukraine ikiachwa kwenye mataa na wale iliyodhani watamsaidia (Marekani na NATO), Putin katoa ofa kwa serikali ya Ukraine kuwa yupo tayari kwa mazungumzo na Ukraine.
Akasisitiza kuwa kama viongozi wa Ukraine wanataka kuzungumza. Putin yeye ataka mambo mawili tu, Ukraine isijiunge na NATO, na wasiweke silaha za US na NATO kwenye ardhi ya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa mapema leo, rais wa Ukraine alilalamika kuwa alijitahidi kumtafuta ktk simu Putin ili waongee lakini Putin hakupokea simu yake. Pengine Putin aliona kwanza atembeze mkono, ili hata wakiingia kwenye mazungumzo awe na mkono wa juu ktk mazungumzo hayo.
======
www.politico.eu
A Kremlin spokesman said on Thursday Russian President Vladimir Putin was ready to negotiate a settlement with Kyiv over Ukraine’s “neutrality,” amid an unfolding Russian invasion of its neighbor.
Kremlin press secretary Dmitry Peskov said Putin was prepared to talk with Ukrainian leaders about both neutrality and demilitarization.
“The president formulated his vision of what we would expect from Ukraine in order for the conceptual ‘red lines’,” he told reporters at a Kremlin press briefing, “if the leadership of Ukraine is ready to talk about it.”
Akasisitiza kuwa kama viongozi wa Ukraine wanataka kuzungumza. Putin yeye ataka mambo mawili tu, Ukraine isijiunge na NATO, na wasiweke silaha za US na NATO kwenye ardhi ya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa mapema leo, rais wa Ukraine alilalamika kuwa alijitahidi kumtafuta ktk simu Putin ili waongee lakini Putin hakupokea simu yake. Pengine Putin aliona kwanza atembeze mkono, ili hata wakiingia kwenye mazungumzo awe na mkono wa juu ktk mazungumzo hayo.
======
Kremlin: Putin ready to negotiate deal over Ukraine’s neutrality, demilitarization
Moscow has previously refused to negotiate directly with Ukraine’s leaders.