Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

Ukraine aomba msaada wa vifaa vya ulinzi wa anga toka EU maana Russia wanashambulia kwa uhuru wao vikosi mbali mbali vya Ukraine
 
Mambo anayotaka wajadiliane ni mawili tu, Ukraine iwe neutral (isijiunge na NATO) na isiweke silaha za USA na NATO ktk ardhi ya Ukraine.

Hii nimeitoka kwenye website ya Russia (link hii hapa chini)

View attachment 2129998
Kama hiyo ndo sababu ya mgogoro, nimegundua kuwa ni Russia ndiye anayeiogopa NATO na USA na siyo kinyume chake.

Kama anajiamini kwanini atishwe na uwepo wa silaha za NATO na US pale Ukraine? Mbona Cuba ana missiles kali jirani na USA na bado wana co-exist kwa kuheshimiana? Mbona Israel imezungukwa na majirani watata wenye silaha (nyingi zinatoka Urusi) lakini haijasema waondoe silaha zao, zaidi ya kujibu tu pale inapochokozwa?

Urusi ndo waoga mbele ya NATO.
 
Kumbukeni kuwa huyo ni Comedian aliyebahatika kuupata Urais . yaani ni kama Tz msanii kama Mkojani au Masanja agombee halafu ashinde. Fikiria tu nchi iwe Kwenye hali ya hatari halafu rais ni MASANJA

Sipati picha aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1258][emoji635] US intelligence agencies offer Biden options for a "large-scale cyber attack" against Russia - NBC
 
Kama hiyo ndo sababu ya mgogoro, nimegundua kuwa ni Russia ndiye anayeiogopa NATO na USA na siyo kinyume chake.

Kama anajiamini kwanini atishwe na uwepo wa silaha za NATO na US pale Ukraine? Mbona Cuba ana missiles kali jirani na USA na bado wana co-exist kwa kuheshimiana? Mbona Israel imezungukwa na majirani watata wenye silaha (nyingi zinatoka Urusi) lakini haijasema waondoe silaha zao, zaidi ya kujibu tu pale inapochokozwa?

Urusi ndo waoga mbele ya NATO.
Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani kasema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).

Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.
 
Ha ha haa...mnyonge hawezi kuwa na option hata siku moja.

Kivita kesha chakazwa mno ndani ya masaa kadhaa. Facilities za kijeshi 74 zikiwemo air bases 11 za Ukraine zimeharibiwa na Russia

Ndege 6 za kijeshi za Urusi Zimedunguliwa na Wanajeshi 50 wa Urusi wamekwenda na maji.
Screenshot_20220224-212820.jpg
 
Kama hiyo ndo sababu ya mgogoro, nimegundua kuwa ni Russia ndiye anayeiogopa NATO na USA na siyo kinyume chake.

Kama anajiamini kwanini atishwe na uwepo wa silaha za NATO na US pale Ukraine? Mbona Cuba ana missiles kali jirani na USA na bado wana co-exist kwa kuheshimiana? Mbona Israel imezungukwa na majirani watata wenye silaha (nyingi zinatoka Urusi) lakini haijasema waondoe silaha zao, zaidi ya kujibu tu pale inapochokozwa?

Urusi ndo waoga mbele ya NATO.
Naona wale wataalam wa kila kitu mmeshakua wataalam wa Ukraine na russia

If it was that simple dunia ingeshakwisha

Very poor and linear analysis of things
 
Na maafa Kwa Ukraine?
Urusi mpaka Sasa imeashaua raia 68 wa Ukraine. Sasa si Yale Yale ya Israel? Urusi inaua raia huku Ukraine akitungua wajeda.

Pia,ndege 3 za Jeshi la Ukraine Aina ya Sukho-24 zimeanguka Chini mitaa ya Kiev. Hizi ni ndege zilizotengenezwa Urusi,kwahiyo naona Urusi anazidondosha kwa kutumia Electronic Cyber hacking.

Wizara ya Ulinzi ya Marekani kupitia kitengo Cha CYBER SECURITY kimeomba idhini kwa Rais wa Marekani kushambulia Mifumo ya Ndege za Jeshi la Urusi kwa kutumia Jamming and Hacking. Biden anasubiri maoni ya kikao Cha wakuu wa NATO Kesho Asubuhi kwa njia ya Video.
 
Bro uko informed, naona wachanguaji wengi wana take side hivyo kuleta hoja za mehemko. Vita ni mbaya sana inapaswa kukemewa kwa kila mtu mwenye moyo na akili timamu. Marekani na washirika wake wako in denial hawaelewi wafanye nini wanahofia ukichaa wa russia inaweza kuchochea vita kubwa itakayogharimu maisha ya watu
 
Urusi mpaka Sasa imeashaua raia 68 wa Ukraine. Sasa si Yale Yale ya Israel? Urusi inaua raia huku Ukraine akitungua wajeda.

Pia,ndege 3 za Jeshi la Ukraine Aina ya Sukho-24 zimeanguka Chini mitaa ya Kiev. Hizi ni ndege zilizotengenezwa Urusi,kwahiyo naona Urusi anazidondosha kwa kutumia Electronic Cyber hacking.

Wizara ya Ulinzi ya Marekani kupitia kitengo Cha CYBER SECURITY kimeomba idhini kwa Rais wa Marekani kushambulia Mifumo ya Ndege za Jeshi la Urusi kwa kutumia Jamming and Hacking. Biden anasubiri maoni ya kikao Cha wakuu wa NATO Kesho Asubuhi kwa njia ya Video.
And you believe attacks zote zimeua raia tu?

Na hakuna damage kwenye military attire za Ukraine sio?
 
Simba vs Ruvu shooting ngapi ngapi huko. My classmate hawezi niangusha
 
Ha ha haa...mnyonge hawezi kuwa na option hata siku moja.

Kivita kesha chakazwa mno ndani ya masaa kadhaa. Facilities za kijeshi 74 zikiwemo air bases 11 za Ukraine zimeharibiwa na Russia

Vijana wa putin Hawa mkuuView attachment 2130311View attachment 2130312View attachment 2130313
Screenshot_2022-02-24-21-53-01-060_com.miui.gallery.jpg
 
hakuna cha majadiliano, yeye aendelee kuua tu.
God bless Ukraine and it's people, the entire world has witnessed Russia's evil. only wicked and immorality folks are the ones who supporting Russia oppression.

supporting##@@@@@@ Ukraine from Dutwa Bariadi###@❤️❤️❤️☺️☺️
Wewe mnyantuzu....wewe. Kaa kwa kutulia maana huzijui siasa za kimataifa. Propaganda tu unahama mtaroni. Putin anajilinda kwa gharama ya Ukraine. Mfedhuli hapo ni USA and her allies
 
Back
Top Bottom