STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
#BREAKING US expects that [emoji1255] Kiev to fall in 96 hours – Newsweek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hiyo ndo sababu ya mgogoro, nimegundua kuwa ni Russia ndiye anayeiogopa NATO na USA na siyo kinyume chake.Mambo anayotaka wajadiliane ni mawili tu, Ukraine iwe neutral (isijiunge na NATO) na isiweke silaha za USA na NATO ktk ardhi ya Ukraine.
Hii nimeitoka kwenye website ya Russia (link hii hapa chini)
View attachment 2129998
Kumbukeni kuwa huyo ni Comedian aliyebahatika kuupata Urais . yaani ni kama Tz msanii kama Mkojani au Masanja agombee halafu ashinde. Fikiria tu nchi iwe Kwenye hali ya hatari halafu rais ni MASANJA
Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani kasema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).Kama hiyo ndo sababu ya mgogoro, nimegundua kuwa ni Russia ndiye anayeiogopa NATO na USA na siyo kinyume chake.
Kama anajiamini kwanini atishwe na uwepo wa silaha za NATO na US pale Ukraine? Mbona Cuba ana missiles kali jirani na USA na bado wana co-exist kwa kuheshimiana? Mbona Israel imezungukwa na majirani watata wenye silaha (nyingi zinatoka Urusi) lakini haijasema waondoe silaha zao, zaidi ya kujibu tu pale inapochokozwa?
Urusi ndo waoga mbele ya NATO.
Ndege 6 za kijeshi za Urusi Zimedunguliwa na Wanajeshi 50 wa Urusi wamekwenda na maji.Ha ha haa...mnyonge hawezi kuwa na option hata siku moja.
Kivita kesha chakazwa mno ndani ya masaa kadhaa. Facilities za kijeshi 74 zikiwemo air bases 11 za Ukraine zimeharibiwa na Russia
![]()
Russia-Ukraine crisis Live: Russia says it destroyed 74 Ukrainian military facilities including 11 air bases
Russia Ukraine Conflict Live News, Russia Ukraine War Crisis News Today, 24 Feb: The casualties are the latest in a series of fast-paced developments that began when Russian President Vladimir Putin announced a military operation in Ukraine early Thursday.indianexpress.com
Naona wale wataalam wa kila kitu mmeshakua wataalam wa Ukraine na russiaKama hiyo ndo sababu ya mgogoro, nimegundua kuwa ni Russia ndiye anayeiogopa NATO na USA na siyo kinyume chake.
Kama anajiamini kwanini atishwe na uwepo wa silaha za NATO na US pale Ukraine? Mbona Cuba ana missiles kali jirani na USA na bado wana co-exist kwa kuheshimiana? Mbona Israel imezungukwa na majirani watata wenye silaha (nyingi zinatoka Urusi) lakini haijasema waondoe silaha zao, zaidi ya kujibu tu pale inapochokozwa?
Urusi ndo waoga mbele ya NATO.
Na maafa Kwa Ukraine?Ndege 6 za kijeshi za Urusi Zimedunguliwa na Wanajeshi 50 wa Urusi wamekwenda na maji.View attachment 2130086
Urusi mpaka Sasa imeashaua raia 68 wa Ukraine. Sasa si Yale Yale ya Israel? Urusi inaua raia huku Ukraine akitungua wajeda.Na maafa Kwa Ukraine?
Bro uko informed, naona wachanguaji wengi wana take side hivyo kuleta hoja za mehemko. Vita ni mbaya sana inapaswa kukemewa kwa kila mtu mwenye moyo na akili timamu. Marekani na washirika wake wako in denial hawaelewi wafanye nini wanahofia ukichaa wa russia inaweza kuchochea vita kubwa itakayogharimu maisha ya watuUrusi mpaka Sasa imeashaua raia 68 wa Ukraine. Sasa si Yale Yale ya Israel? Urusi inaua raia huku Ukraine akitungua wajeda.
Pia,ndege 3 za Jeshi la Ukraine Aina ya Sukho-24 zimeanguka Chini mitaa ya Kiev. Hizi ni ndege zilizotengenezwa Urusi,kwahiyo naona Urusi anazidondosha kwa kutumia Electronic Cyber hacking.
Wizara ya Ulinzi ya Marekani kupitia kitengo Cha CYBER SECURITY kimeomba idhini kwa Rais wa Marekani kushambulia Mifumo ya Ndege za Jeshi la Urusi kwa kutumia Jamming and Hacking. Biden anasubiri maoni ya kikao Cha wakuu wa NATO Kesho Asubuhi kwa njia ya Video.
And you believe attacks zote zimeua raia tu?Urusi mpaka Sasa imeashaua raia 68 wa Ukraine. Sasa si Yale Yale ya Israel? Urusi inaua raia huku Ukraine akitungua wajeda.
Pia,ndege 3 za Jeshi la Ukraine Aina ya Sukho-24 zimeanguka Chini mitaa ya Kiev. Hizi ni ndege zilizotengenezwa Urusi,kwahiyo naona Urusi anazidondosha kwa kutumia Electronic Cyber hacking.
Wizara ya Ulinzi ya Marekani kupitia kitengo Cha CYBER SECURITY kimeomba idhini kwa Rais wa Marekani kushambulia Mifumo ya Ndege za Jeshi la Urusi kwa kutumia Jamming and Hacking. Biden anasubiri maoni ya kikao Cha wakuu wa NATO Kesho Asubuhi kwa njia ya Video.
Anamvimbia PuttRais wa Ukraine amesema dirisha la diplomasia limefungwa.
Vijana wa putin Hawa mkuuView attachment 2130311View attachment 2130312View attachment 2130313Ha ha haa...mnyonge hawezi kuwa na option hata siku moja.
Kivita kesha chakazwa mno ndani ya masaa kadhaa. Facilities za kijeshi 74 zikiwemo air bases 11 za Ukraine zimeharibiwa na Russia
![]()
Russia-Ukraine crisis Live: Russia says it destroyed 74 Ukrainian military facilities including 11 air bases
Russia Ukraine Conflict Live News, Russia Ukraine War Crisis News Today, 24 Feb: The casualties are the latest in a series of fast-paced developments that began when Russian President Vladimir Putin announced a military operation in Ukraine early Thursday.indianexpress.com
Wewe mnyantuzu....wewe. Kaa kwa kutulia maana huzijui siasa za kimataifa. Propaganda tu unahama mtaroni. Putin anajilinda kwa gharama ya Ukraine. Mfedhuli hapo ni USA and her allieshakuna cha majadiliano, yeye aendelee kuua tu.
God bless Ukraine and it's people, the entire world has witnessed Russia's evil. only wicked and immorality folks are the ones who supporting Russia oppression.
supporting##@@@@@@ Ukraine from Dutwa Bariadi###@❤️❤️❤️☺️☺️