jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Rusia wejiamdaa na mashambulizi ya kimtamdao na hapo usa itaumizwa before haijachukua hatua yakeUrusi mpaka Sasa imeashaua raia 68 wa Ukraine. Sasa si Yale Yale ya Israel? Urusi inaua raia huku Ukraine akitungua wajeda.
Pia,ndege 3 za Jeshi la Ukraine Aina ya Sukho-24 zimeanguka Chini mitaa ya Kiev. Hizi ni ndege zilizotengenezwa Urusi,kwahiyo naona Urusi anazidondosha kwa kutumia Electronic Cyber hacking.
Wizara ya Ulinzi ya Marekani kupitia kitengo Cha CYBER SECURITY kimeomba idhini kwa Rais wa Marekani kushambulia Mifumo ya Ndege za Jeshi la Urusi kwa kutumia Jamming and Hacking. Biden anasubiri maoni ya kikao Cha wakuu wa NATO Kesho Asubuhi kwa njia ya Video.
Moja uwezekano wa kuzimwa satelite yao antime