Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

hujui historia n wala chanzo cha mzozo hukijui unaingilia na kuhukumu!!
jaman wasukuma akil zao!! Toka huko baeiad utoe ukungu
Ujinga umekujaa. Sikiliza mawazo take kunajambo la msingi. Lakini msingi wake unaweza kuwa sawa na mawazo yako. Bigger brain digest positively.
 
Kuna idadi ya mabomu na nguvu ya mabomu yenyewe, unaweza kuwa nayo machache ila yenye nguvu kubwa. Pia kwenye hoja yako hujagusia air defense systems za pande hizi mbili.
Sijazungumzia suala la Air Defence Batteries kwasababu,Kombola la Nyuklia halitunguliwi na Mifumo ya Ulinzi wa Anga. Kombora la Nyuklia likitumwa lazima lifike. Kwahiyo Endapo NUCLEAR WEAPONS itatumika Basi usijitie ushabiki kwamba Kuna Mshindi,Never Ever.
 
Hata Mrusi keshaumizwa. Atleast 1000 soldiers killed in Ukraine and still counting.

Senseless and stupid war.
Mkuu nilikua najua uko safi upstairs.
Kumbe na wewe una fall kwenye propaganda za mainstream za West kirahisi hivi.
Too low for you.
 
Mkuu nilikua najua uko safi upstairs.
Kumbe na wewe una fall kwenye propaganda za mainstream za West kirahisi hivi.
Too low for you.
Umetumia facts zipi kuconclude kwamba ulichosikia ni mere propaganda za mainstream media?

Ungekuwa na akili ungecounter argument with some sort of evidence. Huna. Too low for you too.
 
Huu uzi mbona hauchanywi kwenye ule wenye live!? Moderators, majibu.
 
H
Hayo ni mawazo yako binafsi,kinachoendelea ni kwamba Russia wameogopa vikwazo vya uchumi ambavyo wanaenda kuwekewa na jumuiya ya kimataifa,vikwazo ambavyo hakika hawatatoboa,wanabaki kama kisiwa kilichosuswa.
 
Rais wa Ukrain asalimu amri, asema halazimishi tena Ukraine kujiunga NATO. Ni baada ya kichapo cha mbwa koko ambacho Putin anaendelea kukitembeza Ukraine.

Shikamoo Putin!


 
Wanaume wamekaa maabara wakatengeneza afu useme kwa ajili ya kutishia tu
Hahahaa
Siraha zote zipo ili zitumike
 
Putin Ameshindwa kumuweka kibaraka wake kama ilivyokua malengo ya awali ya kumtoa zelensky ki-nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…